Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
Ni dhahiri na wazi kuwa Waziri January Makamba imemshinda wizara yake kutokana na ukosefu na usumbufu wa huduma ya umeme nchi nzima.
Ninachojiuliza kuwa ameshindikana vipi kuwajibishwa kwa jambo kubwa kama hili na badala yake ameachwa kana kwamba wizara yake inafanya vizuri na hakuna dosari.
Hivi ni kweli January Makamba hawezi kunyooshewa kidole kisa ni mtoto wa Yusuf Makamba? Serikali inatufundisha nini?