Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,230
- 1,199
Kweli acha wenzetu waendelee maana sisi tumekalia kujaza masandarusi na malboro na salfeti. Hii nchi aliyetuloga sijui alizikiwa wapi tukamfukue tumuulize,,
Dr Slaa aliwambia mwaka 2010 kuwa akipewa madaraka atawaletea treni ya umeme, CCM wakambeza. Haya sasa Kenya wameweza, aliwaambia elimu ni bure, CCM wakabeza. Aliwambia atashusha vifaa vya ujenzi, CCM wakabeza.
Haya sasa, Kenya haooo.