Imekuwa ikiniathiri sana siku ya Jumanne kutokana na ukweli kwamba imekuwa siku ya bahabti mbaya kwangu haswa matukio mengi makubwa kunikuta siku ya Jumanne likiwemo la hivi karibuni
Jana nimestushwa sana baada ya kijana niliyemsaidia kuandika CV aliponiambia kwamba amepata lazi lakn ameambiwa asianze leo jumaan hadi kesho kwani si siku nzuri
Nilianzisha mjada palepale na kwa kuwa niko uswahilini nilipata majibu yaliyoungwa mkono sana kwa visa mkasa
Kuna ukweli wowote?

ngoja nitafiti mkuunakuomba na wewe ufanye udadisi, hutaamini wasemayo watu
Imekuwa ikiniathiri sana siku ya Jumanne kutokana na ukweli kwamba imekuwa siku ya bahabti mbaya kwangu haswa matukio mengi makubwa kunikuta siku ya Jumanne likiwemo la hivi karibuni
Jana nimestushwa sana baada ya kijana niliyemsaidia kuandika CV aliponiambia kwamba amepata lazi lakn ameambiwa asianze leo jumaan hadi kesho kwani si siku nzuri
Nilianzisha mjada palepale na kwa kuwa niko uswahilini nilipata majibu yaliyoungwa mkono sana kwa visa mkasa
Kuna ukweli wowote?
Amepata lazi.rekepisha kwanza sentensi yako hapo juu
Nafikiri ungerekebisha wewe kwanza ndio ingekua vyema.