Ni kweli Harmonize hana milioni 500 ya kulipa Wasafi?

Mali haijifichi kwa hawa wasanii wetu wanavyopenda show off hata hizo nyumba zingeonekana hata akizipiga picha potelea mbali kuishi mtu kama Ommy Dimpoz anatembelea na Range sport na kuzunguka nchi za mabeberu na yeye pia yupo kwenye list ya wasanii wenye mkwanja mrefu hapo ndio utashangaa pengine hizi digital platform za kuuza miziki zinalipa sana
 
Tukitafuta data za kujua ana kipato kias gan ni ngumu kupata kama unavosema huwa hawaweki wazi vipato vyao na taarifa zake..

Kwenye hoja ya kuwa anayo pesa ya kulipa au hana..kimsingi pesa anayo ya kumaliza deni lote ila je akilipa atabakiwa na nn akat bado inabid alinde status yake ya ustaa?? lazma atoe kidg huku anaingiza kidg kidg coz kama anavosema bado baadhi ya haki zipo chin ya kampuni ya zaman..

tukumbuke pia gharama sio m500 tu kuna gharama za pia uwekezaji uliotumika kwake,wa kurecord videos na audios..mfano ni wimbo wake wa pili kwa mujibu wa diamond anasema alitumia zaid ya 120M..

Ukijumlisha na hyo 500M anaeza gonga mpka 1B,ila najiuliza tu swali kwaniii walipowekeza kwake pesa yote si ilirudi kwa njia ya shoo na mapato ya youtube,kwan pesa zote alikua anachukua Harmonise bila kuchangua kampuni??

Lkn nasisitiza pia Harmo kaikuta WCB changa sana kama sio bado kabisa tena hata ofis cjui kama walikua nayo,so ana asilimia kubwa sana ya mchango pale,je hili wanaliconsider vip??

Labda ni maswala ya kisheria na kimikataba zaid ambayo sina ufahamu nayo!!
 
Hapana halikuwa lengo la mada hii kumtambulishs harmonize... Bali imekuja kama hojaji kuhusiana na malipo ya million 500... Siamini mpaka sasa kama umesoma na baadhi ya replies useme bado humfahamu Harmonize... Kwahiyo hata video ya YouTube hukuangalia
Mkuu ungetufahamisha humo harmonize ni nani na anahusika na nini.umeandika kama wote tunamfahamu.
 
Lkn nasisitiza pia Harmo kaikuta WCB changa sana kama sio bado kabisa tena hata ofis cjui kama walikua nayo,so ana asilimia kubwa sana ya mchango pale,je hili wanaliconsider vip?? point iko hapa KAIKUTA kwahiyo sio mwanzilishi hivyo hawezi kuwa na haki zote
 
Sikuangalia. Binafsi huwa siangalii videos za youtube mpaka nmepata uhakika wa kitu ambacho nataka kukiangalia.vijana siku hizi wanataka tu wapate viewers wengi. Nami si mpenzi wa kufollow au ku view each and everything.

Ndo mana nikawaza kwa nini ndugu mwandishi hajapenda wote tumfamhamu huyo hamornize ili sasa tuweze jadili hoja mezani.introduction then tungeenda kwenye main body.

Sikuendelea kusoma replies sababu ningekuwa na ttizo lile lile.kuwa anayezungumziwa ni nani.

Hapana halikuwa lengo la mada hii kumtambulishs harmonize... Bali imekuja kama hojaji kuhusiana na malipo ya million 500... Siamini mpaka sasa kama umesoma na baadhi ya replies useme bado humfahamu Harmonize... Kwahiyo hata video ya YouTube hukuangalia
 
Hahahaha we jamaa unaakili sana,Mfano kale ka Sheta!!eti nako kanapesa za show kutokana na music. Biashara hii bana
Yupo yule mmoja alioa Rwanda eti kanunua na nyumba marekani, akiulizwa umeitoa wapi pesa eti oooh biashara zangu za mziki nimeinvest sana, sasa ukifutilia huo mziki wanaousema ndio tunafanya wapande ndege first class unabaki midomo wazi.
 
Lkn nasisitiza pia Harmo kaikuta WCB changa sana kama sio bado kabisa tena hata ofis cjui kama walikua nayo,so ana asilimia kubwa sana ya mchango pale,je hili wanaliconsider vip?? point iko hapa KAIKUTA kwahiyo sio mwanzilishi hivyo hawezi kuwa na haki zote
Yupo na waswahili, babu tale na yule mkubwa fella, wakiongozwa na salama SK ambaye mpaka leo ana mambo ya mwaka 90, sifa na mabifu ya ajabu ajabu tutashukuru harmonize anaenda wapoteza maana kama ndele zao anazijua so tukae mkao wakuzika CWB
 
Waswahili Bwana,usiwe smart ki biashara ukafanikiwa lazima watasema ndele! Hivi kuna managers kwenye music walio kaa muda mrefu na ambao atleast Wana usimamizi mzuri kama akina Babu Tale na Fella? Mi nnachoona Harmonize Kwa kuwa ameondoka kwenda kutafuta kikubwa zaidi,Basi sie Tumuombee Tu nae awe msanii mkubwa zaidi hapa Bongo! Hizi blah blah za sijui WCB walikuwa Wana m tumia hakuyaona kipindi hicho anatafuta wapi pa kushika? Hakuziona terms za mkataba anazohisi zilikuwa zinamkandamiza? NI Shida yetu wabongo wengi,yaani MTU akitoka kwenda sehem kutafuta kikubwa lazima aonekane ametoka Kwa bifu kule anako kuacha.

😀😀😀 usicheke huo ndio ukweli hakuna wafanya biashara pale wale ni waswahili walikuja ma mfumo wa clouds plus ushirikina kwaiyo kwakua aliyekuwa nao katika kuna uwezekano wakapwaya maana anajua chochoro zao

Wale bila kiki na ujinga ujinga hakuna mziki ona dai anajua kabisa wimbo wa baba lao ni copy and paste ila kaimba kafanya na video lengo nini apate kiki azungumziwe kwenye social media

Sasa miye ningekuwa meneja wa harmonize mda huu huu dai kachia wimbo ambao watu washajua ameukopy na miye naachia kitu matata no copying kitu OG ili nimkalishe boss na nimpanikoshe kabisa
 
Hebu njoo Pwani kuna vijana huku wanahitaji usimamizi.. Wana vipaji lakini hawama mwongozo
usicheke huo ndio ukweli hakuna wafanya biashara pale wale ni waswahili walikuja ma mfumo wa clouds plus ushirikina kwaiyo kwakua aliyekuwa nao katika kuna uwezekano wakapwaya maana anajua chochoro zao

Wale bila kiki na ujinga ujinga hakuna mziki ona dai anajua kabisa wimbo wa baba lao ni copy and paste ila kaimba kafanya na video lengo nini apate kiki azungumziwe kwenye social media

Sasa miye ningekuwa meneja wa harmonize mda huu huu dai kachia wimbo ambao watu washajua ameukopy na miye naachia kitu matata no copying kitu OG ili nimkalishe boss na nimpanikoshe kabisa
 
Hebu njoo Pwani kuna vijana huku wanahitaji usimamizi.. Wana vipaji lakini hawama mwongozo
Wanaweza kubeba ngada, maana mziki bongo si rahisi kama wanavyoona zamani uzinduzi tu wa ablam tulizaja diamond jubilee, bado kwa mdosi japo tuliibiwa ila pesa kidogo tuliona bado show za mikoni japo mapromota wanazingua ila tulipata kidogo

Ajabu leo hii tunaona video za gharama mbwebwe kibao ila show hatuoni wanazofanya, ila wanatuonyesha matumizi tu ukiuliza utasikia nalipwa na watu wa ring tone, ooh viewers you tube inalipa 😀😀😀😀 hatuambiani ukweli kabisa

Kwaiyo mwambie vijana kama wapo masomoni wasome wasifikilie Sanaa nyepesi hivyo ina mambo mengi sana wanalilia kutoka ikitoka kunakupigania usishuke
 
Back
Top Bottom