Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,944
- 43,607
😂😂😂😂😂 huyo sinza pazuri mwenyewe anapigwa mjegeje nakubaliana na wewe ni mzee wa mjegeje ajaye….Hata wewe ni mzee mjegeje ujaye maana utalie sana nasib akusaidie mpaka utakufa
😂😂😂😂😂 huyo sinza pazuri mwenyewe anapigwa mjegeje nakubaliana na wewe ni mzee wa mjegeje ajaye….Hata wewe ni mzee mjegeje ujaye maana utalie sana nasib akusaidie mpaka utakufa
Graduate wa amazon college campus ya buguruni huwezi kuwa na fikra za maana.😂😂😂😂😂 huyo sinza pazuri mwenyewe anapigwa mjegeje nakubaliana na wewe ni mzee wa mjegeje ajaye….
Labda walifunga ndoa ya shida na rahakwani makubaliano yao ya kazi yalikuwaje? kwamba atatakiwa kumsaidia akipata changamoto au? maana kama umefanya kazi na mtu akakulipa mkamalizana sioni sababu ya kulazimisha akusimamie kwenye matatizo yako japo kwa moyo wa upendo tuwasaidiie wenye uhitaji
Cc: Lucas mwashambwa ngoja na mm nimuite