Ni kweli hapa mjini msingi kiuno?

Ni kweli hapa mjini msingi kiuno?

Jamani Ntawaeleza Mods, Ili Jukwaa Liitwe MM Mapenzi Na Mahusiano, Maanaake Tunao Taka Mambo Ya Urafiki Humu Ni Adimu Sanaaa Mnamatusi Hadi Mnaboa! Hamnaga Mambo Ya Maana
 
Jamani Ntawaeleza Mods, Ili Jukwaa Liitwe MM Mapenzi Na Mahusiano, Maanaake Tunao Taka Mambo Ya Urafiki Humu Ni Adimu Sanaaa Mnamatusi Hadi Mnaboa! Hamnaga Mambo Ya Maana

unaweza kuhama majukwaa,forums yapo mengi sana
 
Wana mmu, leo nimesikiliza kwa makini sana hii nyimbo ya rich mavoko,nmegundua kwann vijana wengi wanaupenda na wazee hawaupendi (hasa hii sehemu ya kuchapiwa ni siri ya ndani). Je ni kweli hapa mjini watu wanatumia viuno vyao kama msingi?
Siyo kweli viuno vingekuwa msingi usingekuta omba omba huko barabarani maana hata wao wana viuno lakini wanaomba omba, hata watu wasingetafuta ajira maana wote walioajiriwa wana viuno.
 
Hata msingi "dude" pia.
wapo mtaani kuna kina kaka wamewekwa ndani na mijimama mijane yenye hela wamepewa magari.
 
Wana mmu,

leo nimesikiliza kwa makini sana hii nyimbo ya rich mavoko,nmegundua kwann vijana wengi wanaupenda na wazee hawaupendi (hasa hii sehemu ya kuchapiwa ni siri ya ndani).
Je ni kweli hapa mjini watu wanatumia viuno vyao kama msingi?

jaribu kutumia kiuno chako, then tupatie mrejesho!
 
Hebu rudia tena kusoma haya uliyoyaandika kama yanaeleweka?

Wana mmu,

leo nimesikiliza kwa makini sana hii nyimbo ya rich mavoko,nmegundua kwann vijana wengi wanaupenda na wazee hawaupendi (hasa hii sehemu ya kuchapiwa ni siri ya ndani).
Je ni kweli hapa mjini watu wanatumia viuno vyao kama msingi?
 
Kiuno ndio habari ya mjini.,kama huamini waulize wakongomani watakueleza jinsi kiuno kinavyowaweka mjini.
 
Back
Top Bottom