Ni kweli handsome boy wanasumbua?

Ni kweli handsome boy wanasumbua?

Mademu wote ninaokaa na kudate nao wanakuwa kama wanazengua tu

Mara utasika Demu anakwambia ohhh nimeshauriana na rafiki zangu wameniambia wewe handsome kwamba maendisome uwa mnasumbua sana !!!

Kesho umekaa geto unasikia Rafiki yake na Demu anagonga mlango !!

Unafungua anajichekesha utasikia anasema mambo
Unamjibu Poa
Rose yuko wapi unamjibu daaah tumeachana kwani ujui ajakwambia??
Anajibu no ajaniambia!!
Anakaa !!
Utasikia Ndani kwako pazuri umekula lakini au nikupikie ??

sasa unakaa unajiuliza huyu Demu ni marafiki na aliyekuwa Demu wangu inakuaje aniambie hivyo?

OK poa nimeamua kutafuta Demu mbali na mitaa yangu ,mbali na kwangu mpya kabisa tayari kwa kuoa sio kucheza cheza naye tu nimechoka kuchezea watoto wa watu !!
ivii nyiee wanaume wa dar hivi ilo joto la dar lina nn jamani cha ziada mbona tabia zenu za kidada dada ivooo.....mtoto wa kiume unajisifia uzuri na dada ako anaetafta bwana ajisifie nn....khaaaaaaa mnaboa banaa
 
Raha tupu njoo tule bata huku majuu
 
Jiandae na necta mbwa we, form 2 hupiti kijinga utawala huu
 
Mademu wote ninaokaa na kudate nao wanakuwa kama wanazengua tu

Mara utasika Demu anakwambia ohhh nimeshauriana na rafiki zangu wameniambia wewe handsome kwamba maendisome uwa mnasumbua sana !!!

Kesho umekaa geto unasikia Rafiki yake na Demu anagonga mlango !!

Unafungua anajichekesha utasikia anasema mambo
Unamjibu Poa
Rose yuko wapi unamjibu daaah tumeachana kwani ujui ajakwambia??
Anajibu no ajaniambia!!
Anakaa !!
Utasikia Ndani kwako pazuri umekula lakini au nikupikie ??

sasa unakaa unajiuliza huyu Demu ni marafiki na aliyekuwa Demu wangu inakuaje aniambie hivyo?

OK poa nimeamua kutafuta Demu mbali na mitaa yangu ,mbali na kwangu mpya kabisa tayari kwa kuoa sio kucheza cheza naye tu nimechoka kuchezea watoto wa watu !!
Picha wapi sasa, je unavaa hereni moja au mbili, umetoga poa?
 
H
Hahahah watu wanajua kujiongeza..duh
Watu wanajpgia debe ngoja na mimi nije na story kuwa mpenzi ananishangaza nikimpa milion mbili aende shopping anakataa yeye anataka laki tu.
Manajukwaa mnanishauri nifanyeje awe anachukua hiyo milioni mbili.
[emoji1] [emoji2] [emoji4] nisipopata pm ntaenda kw mshana jr kutambika
 
Sikuhizi tunataka wanaume wenye Brain wanaofahamu nini maana ya maisha.
1472665187358.jpg

vipi ninafaa hiyo ni picha yangu nina brain hatari
Halafu full smart mwendo wa suti na glasses kama profesa.
Je ninakufaa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom