Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,032
I have bothPesa ndo kila kitu we uwe Handsome halafu huna hela
Sawa sister ndio maananikauliza nipate elimu zaidiHakuna mwanadamu mbaya...wote tuliumbwa kwa mfano wa Mungu. Pia jinsi unavyojichukulia ndio jinsi wengine watakavyokuona, ukijiamini wewe ni mzuri basi ni mzuri...ukijiona wewe ni mbaya hata wengine watakuona hivyo pia. Suala la ubaya na uzuri linahusisha zaidi self esteem. Mi napenda tu mwanaume msafi anayejua kupangilia mavazi yake hata akiwa mbaya...yaani kwa lugha nyingine mtanashati inatosha, mambo ya sura tuwaachie mamodo wa Mustapha Hassanali.
Safi sanaI have both
Sema kila mtu ana taste yake...wengine wanawapenda nyie mahendisamu. Kuhusu kusumbua hamna kitu kama hicho usumbufu ni tabia ya mtu tu ile ya asili japo malimbukeni wachache ndio huwa wanakuwa wasumbufu wakifaham wao ni mahendisamu.Sawa sister ndio maananikauliza nipate elimu zaidi
Tushamalizana na huyo mhuni nimeachana nayehttps://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17384032 hili swala umemaliza kwanza maana
Sasa hivi umempata wa mbali ambaye hana huo mchezo au sioTushamalizana na huyo mhuni nimeachana naye
What?? Sory I'm matured enoughKids!
Mademu wote ninaokaa na kudate nao wanakuwa kama wanazengua tu
Mara utasika Demu anakwambia ohhh nimeshauriana na rafiki zangu wameniambia wewe handsome kwamba maendisome uwa mnasumbua sana !!!
Kesho umekaa geto unasikia Rafiki yake na Demu anagonga mlango !!
Unafungua anajichekesha utasikia anasema mambo
Unamjibu Poa
Rose yuko wapi unamjibu daaah tumeachana kwani ujui ajakwambia??
Anajibu no ajaniambia!!
Anakaa !!
Utasikia Ndani kwako pazuri umekula lakini au nikupikie ??
sasa unakaa unajiuliza huyu Demu ni marafiki na aliyekuwa Demu wangu inakuaje aniambie hivyo?
OK poa nimeamua kutafuta Demu mbali na mitaa yangu ,mbali na kwangu mpya kabisa tayari kwa kuoa sio kucheza cheza naye tu nimechoka kuchezea watoto wa watu !!
....Kabisa.Sikuhizi tunataka wanaume wenye Brain wanaofahamu nini maana ya maisha.
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mwanaume wa kujipenda sana ni problem, mwanaume anavaa kiatu cha US$500 bill ya $200 anakutegea wewe ili yeye akanunue kiatu.
Yeah, thats right. I can see that in your wonderful story!What?? Sory I'm matured enough