ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,922
- 3,913
Hahaha. Kunagololi za kwenye gari na baisikeli. But in short kama gololi ni ndogo kiasi kwamba hawezi kupiga hatua moja ni lazima ajishitukie tu. The issue here ni comparison kati kinachoishi juu ya dunia kinaukubwa kiasi gani kulingana na dunia.kwahiyo sisimizi ukimuweka kwenye gololi atajua yuko upside down
Mkuu, rudi mwanzo uangalie updatedTheory yangu ya FLAT 'Bense' inaelezea hilo.
'Bense' 'Bense' 'Bense' 'Bense' inamaanisha kitu.
Aiseeeunamaana zanzibar iko mbali kuliko mwezi na nyota ambazo tunaziona kwa macho
Sijaona marekebisho ya kutia Flat hapo, naona unarudia mambo mliyokalilishwa.Mkuu, rudi mwanzo uangalie updated
AiseeSijaona marekebisho ya kutia Flat hapo, naona unarudia mambo mliyokalilishwa.
Ndio ukweli Kaka na hapa nashindwa kuelezea vizuri, kwa mdomo ndio unaweza kulia na kusaga meno.Aisee
tueleze mkuuu nasisi tupate maarifaNdio ukweli Kaka na hapa nashindwa kuelezea vizuri, kwa mdomo ndio unaweza kulia na kusaga meno.
City/Municipal ipi unapatikana Kaka?tueleze mkuuu nasisi tupate maarifa
Ila usitulize & kusaga meno please!.
upangaCity/Municipal ipi unapatikana Kaka?
Oh ok ngumu kukutana na kuelezana face to face.upanga
CGI Ni cooked graphical interface au?Hii ni CGI. Tuoneshe picha halisi ya umbile la Dunia iliyochukuliwa na satellite.
Baharini milima ipo na ndio ikijitokeza kwa uwanda mpana inaitwa visiwaNimechagua kigamboni na sio msata/pwani ili unielewe,milima na vichuguu baharini vinatoka wapi??
Mawingu yako ndani ya milki ya dunia kama km5 kutoka chini.huo ukuta unaouzungumzia una upana mile ngapi maana katikati yake kuna nyota za karibu na za mbali kiasi kwamba zinaonekana kama unga tu uliomwagwa.
Hiyo Isaya 22 utaona inasema dunia ni duara alafu inasema tunakaa ndani yake. Kwa maana hiyo kuna ungo mwingine nimeugundua, tunaambiwa tupo juu kumbe tupo ndani. HahahaISAYA
21 Je! Hamkujua? Hamkusikia? Hamkuambiwa tokea mwanzo? Hamkufahamu tangu kuwekwa misingi ya dunia?
22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa;
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni computer generated imagery. Na ndivyo picha za Dunia zinavyofanywa na za galaxies vilevile.
Ukanda wa barafu (the so called antarctica)ok aliyekaribu na mwisho wa flat ,mbele atakutana na nini?
Havieleweki
Sent using Sukhoi Su-57
Rudia tena kuangalia mpaka uelewe mkuu.Havieleweki