Ni kweli alikuwa na ubaya, lakini na uzuri alikuwa nao

Hilo la kusema alikuwa anakopa silikubali! Alikuwa hapendwi na mabeberu! Watamkopeshaje? Upanuzi wa njia ya kimara hadi kibaha alienda kukopa wakamkatalia na kumwekea masharti makali ya barabara 4 yaani 2/2. Akasema atajenga kwa hela yake na akajeng kweli njia 12. 6(3/3) + 2 mwendokasi + 4 service road. Miradi ya Bwawa la Nyerere na SGR mabeberu yasingemkopesha kwasasa waliipinga! Sasa hela aliitoa wapi? Jamaa alikuwa mwamba kwelikweli!
Watanazania bwana. Takwimu zinaonyesha alikopa na ripoti ya BOT inaonyesha alikopa ila wewe unabisha eti hakukopa mabeberu walikuwa hawampendi! Hakuwa tishio kwao kihivyo na wala hakuwa amefikia kiwango cha kumnyima mikopo mengine yalikuwa propaganda tu.
Nakubaliana na mleta mada alikuwa na mazuri yake na mabaya yake. Kuna mazuri yake mengi tu hata mimi nimeyatambua baada ya kufa maana wakati yu hai nilikuwa naona mabaya yake tu.
 
Sema tusimlaumu ni uhaba wa maarifa na elimu ndo vitu vilikuwa vinamsumbua Sana .

EGO ilimvaa ghafla na akasahu kuwa yeye ni binadamu wa kawaida Sana.

Tanzania Kama Taifa kuna WATU wapumbavu wengi ambao wanaamini ili nchi iende mbele Unabidi kuwa mropokaji, muuaji na MTU Wa kufoka foka.
yaani mimi kila nikipitia kipindi kigumu kwenye maisha yangu namkumbuka magufuri na kumlaani kabisa......
 
Sawa, em Taja rais mmoja aliyefanya kitu mana JPM hajafanya chcht kwa mujibu wako

Upo sahihi nchi ili ijipatie maendeleo inabidi kuongozwa na mifumo na sio matamko ya MTU mmoja.

Mkapa kaanzisha hivi vitu.
TRA
HELSB
TACAID
NHCF
NNSF,PPF

Sasa hiyo ndo mifumo ebu angalia utawala wa mkapa then compare na hawa jamaa waliomfata nyuma the useless damn.
 
yaani mimi kila nikipitia kipindi kigumu kwenye maisha yangu namkumbuka magufuri na kumlaani kabisa......
Elimu za kuunga unga zinawatesa Sana watanzania , jamaa alikuwa Hana elimu ya kumtoa katika Giza la fikra .

Hivyo usimlaumu wala kumlaani msamehe maana uhaba wake Wa maarifa na Elimu duni ndo ugonjwa uliomtesa.
 
Hii sio nchi ya Kisultani, ni Jamuhuri na hakuna aliye juu ya Katiba na utawala wa sheria.
Uchaguzi ushaisha itabidi mfuate amri ya mkuu wa nchu

Hakuna nchi ambayo haikandamizi wapinzani we jidanganye.
 
Hilo la kusema alikuwa anakopa silikubali! Alikuwa hapendwi na mabeberu! Watamkopeshaje? Upanuzi wa njia ya kimara hadi kibaha alienda kukopa wakamkatalia na kumwekea masharti makali ya barabara 4 yaani 2/2. Akasema atajenga kwa hela yake na akajeng kweli njia 12. 6(3/3) + 2 mwendokasi + 4 service road. Miradi ya Bwawa la Nyerere na SGR mabeberu yasingemkopesha kwasasa waliipinga! Sasa hela aliitoa wapi? Jamaa alikuwa mwamba kwelikweli!
Yule alikuwa noma wallah tena
 
Nakubari nakubari itoshe kusema alikataa kua mtumwa wa Mabeberu
 
Back
Top Bottom