Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa wabaya sana?

Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa waovu Sana.

Wanawake wengi wamejaa ujeuri, umalaya, roho mbaya, uongo, Ukatili, kukosa utu, kupenda pesa kupita kiasi.

Mbona wanawake miaka ya 2000 down hawakuwa hivyo. Hizi tabia siku wamezitoa wapi.

Wanawake wamekuwa vyanzo vikubwa vya uvunjifu wa ndoa. Wanawake hawaheshimi tena waume zao. Hawa watu wamevamiwa na nini? Wanawake wameiharibu mno dunia. Wanafanya umalaya utafikili mbwa. Wamegeuka kuwa ombaomba kwa kutumia jinsia zao.

Sijui wamepatwa na nini
Mchawi ni 50/50.
 
Mali kitu gani ndugu, kesho unadanja shwaaaa ndani ya futi sita unaacha hicho kitv na sabufa...

Mie katika vitu sinaga muda wa kuwaza ni mali ya mtu
Madam watu Wana tofautiana, nime bahatika kuhudhuria wiki hii kesi ya familia 1.
Aisee ni balaa, vitu vidogo vina haribu.

Aisee hizi mambo za kuwindana ndani, sizi wezi.
Na kitu ambacho Siki pendi ni maigizo
 
1.Vikoba.
2.Michezo majina matatu mchezo mmoja.
3.Mikopo.

Hivyo vitatu ndio sababu ya mizinga ya hovyo hovyo kwa siku hizi. Hapo bado hujaweka bundle.
 
Back
Top Bottom