Hapo Pangadeco, Pangani mjini hadi usawa wa Boza junction kote huku patakuja funikwa na maji ya bahari ndani ya miaka kumi ijayo.Maeneo gani, bei zinategemea na eneo.
Kwa Pangadeco, Bweni,Kikokwe na Ushongo bei utayotajiwa inaelekea na viwanja vya Dar.
Kama pesa ipo unaweza ukawavua mpaka wazungu/waswahili wenye maeneo Ushongo Beach club.
Mwenye akili anajenga gholofa (kama uwezo upo)Sahihi kabisa!
Asante. Ngoja nizigoogle zaidi. Kama una key word kusaidia my further search..please assist.View attachment 1662972
Hata kama umeshajenga nyumba unaiweka pembeni ya banister. Kwa Afrika wananunua kutoka Uturuki.
Aweee[emoji3059][emoji3059] Mungu ni mwema sana. Furaha yake ndo baraka kwako jamani.Mama yangu alikuwa anatamani sana. So niliamua kujenga japo ni simple tu ili aishi huko juu. Bahati mbaya amezeeka so ikambidi aishi ground floor. Lakini anafurahi tu kuliona [emoji23]
Asante sana mkuu nimejifunza kitu kipya leo[emoji847]View attachment 1662972
Hata kama umeshajenga nyumba unaiweka pembeni ya banister. Kwa Afrika wananunua kutoka Uturuki.
Aaah sawa mkuu, kuna mdau Sky Eclat anataka viwanja vya ufukweni muuzie wewe kuna posti niliona umesema Una maeneo Boza.Hapo Pangadeco, Pangani mjini hadi usawa wa Boza junction kote huku patakuja funikwa na maji ya bahari ndani ya miaka kumi ijayo.
Hilo eneo lote ni water Logged na mvua ikinyesha kidogo tu ardhi inashiba maji ndani ya masaa machache.
Sehemu salama( High altitude area) ni kwanzia huku kwa Mkuu wa wilaya, Tongoni,Kigombe hadi Tanga au Maeneo ya Mwera, kipumbwi ,makorora na mkwaja.
Kwa watu kadhaa waliokua wanajenga nimeona msingi range 45mil to 55. Na ni hizo hizo room 4 za kulala ukiacha store na vingine. Hapa naenda site ya ndugu yangu katumia 55.
Aje Tu namkatia kipande achague mwenyewe anataka wapi Kwa mkuu wa wilaya, Boza , Kimang'a Au Madanga.Aaah sawa mkuu, kuna mdau Sky Eclat anataka viwanja vya ufukweni muuzie wewe kuna posti niliona umesema Una maeneo Boza.
Hapo wilayani Kwa Bi Amina, karibu na bahari viwanja bei gani au kimang'a.Aje Tu namkatia kipande achague mwenyewe anataka wapi Kwa mkuu wa wilaya, Boza , Kimang'a Au Madanga.
Madanga ni kama 4km kutoka Pangani-Tanga roadView attachment 1663070
---Wilayani 600m² kwanzia 9M hadi 15M unapataHapo wilayani Kwa Bi Amina, karibu na bahari viwanja bei gani au kimang'a.
Key words: Stair LiftAsante. Ngoja nizigoogle zaidi. Kama una key word kusaidia my further search..please assist.
Na Kigombe---Wilayani 600m² kwanzia 9M hadi 15M unapata
---Kimang'a 817m² kwanzia 7.5M
Awesome. Asante nguzo1Key words: Stair LiftView attachment 1663088
Kigombe kwanzia maeneo ya jiweni njoo hadi huku mbele ya Kingfisher Hotel kama unaenda pangani ukiwa na 15M to 25M unapata eneo kubwa tu upande wa bahari yani unauziwa strip inayoanzia main road hadi kwenye maji ya bahari na huko karibia kote wazungu ndio wamekamata.Na Kigombe
Zinapatikana Dar? Atafurahi hatari 😁Siku hizi kuna simple lift kutoka Uturuki. Imerahisisha sana maisha kwa wazee na wagonjwa.
Amina mtumishi wa MunguAweee[emoji3059][emoji3059] Mungu ni mwema sana. Furaha yake ndo baraka kwako jamani.
Mkuu hapana. Na material zingine tunachukua viwandani kabisa. Sishangai wewe kushangaa ama kukataa hizi gharama.duuuh! sijui nature ya eneo limekaaje na pengine reinforcement ya aina gani... lakini kila nikijaribu kufanya analysis ya hiyo bei kwenye msingi then tukija kwenye uhalisia naona kuna kila viashiria vya matumizi mabaya ya pesa au kukosa washauri na wataalamu bobezi katika kufanya maamuzi sahihi.
Hapo APL nimeona wamejenga Kota za wafanyakazi wao.Kigombe kwanzia maeneo ya jiweni njoo hadi huku mbele ya Kingfisher Hotel kama unaenda pangani ukiwa na 15M to 25M unapata eneo kubwa tu upande wa bahari yani unauziwa strip inayoanzia main road hadi kwenye maji ya bahari na huko karibia kote wazungu ndio wamekamata.
Kuna Mzungu mmoja alikuwa anamiliki hayo maeneo akaja kuwauzia hao jamaa wanaolima Katani huo upande wote wa ng'ambo ya barabara (APL)