Ni kwanini nchi hizi hazikutawaliwa na wakoloni??

Idadi ya ya black people waliorudishwa kutoka America na Ku settle Liberia na Ethiopia ni wachache sana...wengi hawakutaka kurudi ..kuanzia viongozi wao na hata black people kwa ujumla. So ujio wa hao black hauna mchango wowote wa kutokutaliwa kwa hizo nchi...

Jikite kwenye points hizi
-Geographical location
-Good leadership Mennelek ii
-strong army
-Common history.. Language and culture

Fight...believe & obedient
Comon history ... Language and culture itolee ufafanuz kiduchu
 
Comon history ... Language and culture itolee ufafanuz kiduchu
Unapokuwa na common language and culture ina act as unified factor...,tofauti na kuwa na lugha nyingi ..inakuwa ngumu kuwaunganisha watu wako dhidi ya maadui zako. Mfano vita ya majimaji participants wake walikuwa makabila tofautitofauti so ilikuwa ngumu kwa Kinjekitile kuwaunganisha na kupanga mbinu za kivita zidi ya maadui zao..kwa sababu walitofautiana kwenye lugha.

Fight...believe & obedient
 
hizi nchi zilikuwa na viongozi wasomi sana..namaanisha diplomatic leaders..yaani sio watu wa kurubuniwa kizembe kama ilivyotokea kwenye nchi nyingi za africa..mkoroni alipodunda africa,hakuanza moja kwa moja kutawala..alitumia mbinu kadha wa kadha baadhi yazo ikiwa treachery..yaani ujanja ujanja na uongo kumdanganya mwafrika..ili kumlainisha,walitumia tubidhaa kama kioo,bunduki,kiberiti..yani limwafrika likiona hivyo linauza nchi.

sasa suala la diplomasia kwenye hayo mataifa lilihusika sana..yani mkoroni akimjia sultan kwa nia ya kumdanganyadanganya kwa tubidhaa uchwara sultan atakwepa hiyo mitego..pia suala la signing of treaties,maana yake kuandikiana mikataba..viongozi wa ethiopia waliweza kusoma na kuelewa baada ya kutia sahihi mkataba huo..ila akina kinjekitile waliweka masahihi pasi kujua wanaiuza nchi
Hahaha mkuu umenikumbusha "Bogus treates" ila hz mpk leo bdo znasainiwa africa asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imekuwa ni kama naaminishwa kitu kisicho sahihi kabsa kuhusu Ethiopia na liberia.
Sababu za nchi hizi mbili kutokutawaliwa zimekuwa zikinifanya nistaajabu kila mara Et zina milima yenye mawe mengi hivyo walikuwa wakiwaporomoshea mawe wakoloni hivyo ikawa kinga yao.
Siamini na sitoamini hizi sababu kwamwe kwani nchi sio mlima kuwa lazima waupande ndio watawale.

Wadau toeni mwanga kwenye hili je kulikuwa na nini nyuma ya pazia kuhusu nchi hizi? Au kulikuwa hakuna rasilima?
Nitangulize shukrani

Ethiopia walishakuwa na interactions na Dunia iliyoendelea kwa miaka mingi sana, walikuwa na uongozi thabiti pia na silaha nyingi walizokuwa nazo hao wavamizi na walikuwa wajuzi wa Vita, pia topography iliwasaidia kwa sababu wao walikiwa ni wazoefu wa hayo maeneo

Liberia ni nchi iliyotengenezwa na Wamarekani, yaani watumwa waliokuwa wanataka kurudi kwao Africa walikusanywa na kupewa uhuru wao na hivyo kuletwa hapo Liberia na wengine walipelekwa Sierra Leone (Free town)
Ukiangalia lugha (Kiingereza) wanayaotumia sasa Waliberia ni kilekile kiingereza cha Blacks America na hata bendera ya nchi ya Liberia ni kama ya Marekani tu isipokuwa ya Liberai ina star moja tu
Kingine hata majina Sir names wanayotumia Waliberia utakuta ni ya Kiingereza
Na kiuhalisia hao Watu wa Liberia ni mchanganyiko wa makabila ya watu wa west Africa
 
Shukrani mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom