Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Wadau kwa sasa nipo Tabora huku ambapo ndipo chimbuko la mwanasiasa profesa Ibrahim Lipumba.
Asilimia 80 ya wakazi wa mkoa wa Tabora ni wanyamwezi na kidogo wasukuma na watusi katika utafiti nimejaribu kukaa na wasukuma na wanyawezi mwenzangu katika mazungumzo ya hapa na pale nimejaribu kuwagusia kuhusu Lipumba ambaye ni mnyamwezi mwenzao wanamzungumziaje.
Kiukweli wengi wao wanaonekana hawamkubali kabisa Lipumba wengine wanadai hawajui kabisa ila wanamsikia ila hawajawahi kumuona na juzi juzi tumesikia kaenda Pemba hivi kwanini asirudi kwao kukijenga chama cha CUF anaangaika na Zanzibar.
Hebu tuyaache hayo narudi kwa ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma mlio humu ndani toka Tabora ni kwanini mnadhani Lipumba akubaliki kwao licha ya yeye ni mnyamwezi mwenzao