Ni kwanini Lipumba ameshidwa kukubalika kisiasa Tabora na Shinyanga wakati ndo kwao?

C Programming

C Programming

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Messages
2,856
Likes
1,941
Points
280
Age
28
C Programming

C Programming

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2011
2,856 1,941 280
Lipumba ni mmoja kati ya wanasiasa wakongwe hapa nchini.

Lipumba ni mnyamwezi anaetokea maeneo ya UTUSINI ILOLANGURU TABORA mwenye asili kutoka jamii ya wasubwa.

Asilimia kubwa ya wasubwa wako TABORA,Shinyanga na Geita hawa ni wanyamwezi.

Lakini tangu nimefika TABORA nimeenda Kahama hadi Geita na Ilolanguru kote huko Lipumba ameshidwa kukubalika kabisa kisiasa.

Tangu aanze kugombea Urais mwaka 1995 hadi Leo hii Lipumba ameshidwa kukubalika unyamwezi hadi usukamani yaani hata ule ushawishi wa kupata angalau diwani au mbunge bado kabisa

Hadi leo hii ukienda TABORA ukiwauliza wana TABORA ni kwanini ndugu yenu hakubaliki kisiasa huwezi kupata jibu.

Sasa sijajua kuna tatizo gani!
 
U

ushuzi.1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
7,577
Likes
5,765
Points
280
Age
30
U

ushuzi.1

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2015
7,577 5,765 280

Asili ya kweli ya Lipumba ni congo ingawa yy alikuja Tz akiwa kichanga na ndugu zake wengi walihamia Rwanda kilipo kile kikundi chake cha kigaidi wazee wa Nissan nyeupe, huko Tabora hakubaliki Kwa sababu wanajua Lipumba ni mkongo man pia wanajua ni chuna buzi wa CCM si mpinzani halisi ni msomi feki na Dalali wa siasa, wasukuma na wanyamwezi wapo makini kwenye kuwashitukia mamluki.
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
18,292
Likes
30,030
Points
280
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
18,292 30,030 280
Logic ya Mwanasiasa kuanza kukubalika kwao ina viashiria vya Ukabila!
 
U

ushuzi.1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
7,577
Likes
5,765
Points
280
Age
30
U

ushuzi.1

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2015
7,577 5,765 280
Yule siyo mnyamwezi ni mkongoman ndiyo maana wanamkataa
Lipumba ki Ukweli sio Mtanzania hilo halina Ubishi ukienda Tabora yote wanajua ndiyo maana Lipumba kujipendekeza kwa magufuli Mtukufu malaika wa chato ili asije kufukuzwa Nchini na kurejeshwa congo.
 
U

ushuzi.1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
7,577
Likes
5,765
Points
280
Age
30
U

ushuzi.1

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2015
7,577 5,765 280
mwanasiasa anatakiwa kukubalika na watanzania sio kwao.
hata yesu hakukubalika nazareth alipokulia akaamua kwenda kuweka kambi carpenaumu
Sasa Lipumba anakubalika na watanzania wapi? Labda hao waganga wa kienyeji anaoletewa na Abdalah kambaya
 
MAPUMA MIYOGA

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Messages
3,379
Likes
1,601
Points
280
MAPUMA MIYOGA

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2013
3,379 1,601 280
Hana akili, ni msaliti pia
 
O

Onestone

Senior Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
123
Likes
55
Points
45
O

Onestone

Senior Member
Joined Jul 19, 2017
123 55 45
Nadhani wao wanamfahamu vizuri kuliko sisi ndo maana hawamtaki
 
O

Onestone

Senior Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
123
Likes
55
Points
45
O

Onestone

Senior Member
Joined Jul 19, 2017
123 55 45
Asili ya kweli ya Lipumba ni congo ingawa yy alikuja Tz akiwa kichanga na ndugu zake wengi walihamia Rwanda kilipo kile kikundi chake cha kigaidi wazee wa Nissan nyeupe, huko Tabora hakubaliki Kwa sababu wanajua Lipumba ni mkongo man pia wanajua ni chuna buzi wa CCM si mpinzani halisi ni msomi feki na Dalali wa siasa, wasukuma na wanyamwezi wapo makini kwenye kuwashitukia mamluki.
 
U

ushuzi.1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Messages
7,577
Likes
5,765
Points
280
Age
30
U

ushuzi.1

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2015
7,577 5,765 280
Lakini anakubalika sana ikulu huyu mtu,kila ripoti yupo
Anajipendekeza kwa Mtukufu pia Kumbuka Lipumba ni mladi mkubwa wa Madalali wa siasa huko CCM, pesa inayotoka Hazina kwenda kwa Lipumba wanakula 10% humo lazima wamualike ikulu mara zote.
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,420
Likes
13,558
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,420 13,558 280
Sasa Lipumba anakubalika na watanzania wapi? Labda hao waganga wa kienyeji anaoletewa na Abdalah kambaya
japo sasa hivi simkubali sana, ila kuna kipindi huko miaka ya 2000 nilimkubali na kujivunia yeye kuwa mtanzania, lkn ktk vipindi vyote vya maisha yake hajawahi kukubalika huko kwao angalau kumpa hata kura nyingi kama heshima
 
Forum statistics

Threads 1,238,335
Members 475,888
Posts 29,316,487