Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,410
- 39,486
Habarini Wadau,
Picha nyingi zikipigwa ndani katika nyumba zetu hizi za uafrikani lakini zaidi za uswahilini zinakuwa chafu chafu sana na hazina mvuto wa kuangalia.
Unakuta binti mzuri mwenye sura nzuri na t*ako zito ila akipiga picha ukutani...ukuta mchafuuu mara unakuta binti ana magaga mguuni kisha kavaa malapa tofauti (ndala)
Ikipigwa picha ya jikoni...daah wallah unaona ukuta mchafuu, sufuria zenye masinzii, mpangilio wa vitu ni hovyo hovyo
Hata vyumbani ni hivyohivyo, yaani sisi waswahili hatujui mpangilio mzuri wa furniture pamoja na usafi wa mazingira ya ndani.
Mbona nyumba nyingi za wazungu (sio wahindi) au mahotelini ni safii na mpangilio mzuri...picha za ukutani, kitanda, sofa set zote zimekaa mahali sahihi na zina rangi safii.
Hivi UMASIKINI unaweza kuwa ndio sababu au ni UZEMBE tu?
Tunapaswa kujifunza usafi wa ndani na mpangilio bora wa samani zetu.