Ni kwanini Ikulu duniani hutumia Twitter zaidi?

Ukiangalia hasa Ikulu ya Marekani na Tanzania hutumia taarifa kwa watu kupitia Twitter. Hata Meko akituma salamu za rambirambi hutumia Twitter. Ni kwanini mabosi hutumia twitter zaidi kuliko Facebook au Instagram?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema kuwa Ikulu Duninani zinatumia twiter zaidi, je kwenye Sayari zingine unajua wanatumia application softwares zinaitwaje? Nitafurahi kama utanifhaamisha hili
 
Back
Top Bottom