Huduma za Kuasili watoto na Malezi ya Kambo

Dkt. Gwajima D

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
543
3,575
Ndugu Wananchi, nawasalimu kwa Jina la JMT

Nimekuwa nikipokea taarifa kutoka kwa baadhi ya wanajamii kuwa zipo changamoto na usumbufu ambao ni mtihani sana kupata huduma za mtoto wa kumlea malezi ya Kambo au Kuasili kiasi kwamba, eti baadhi wenye sifa na vibali wanakata tamaa huku watoto wenye sifa wapo na hawana huduma ya malezi.

Hivyo, natoa wito tafadhali wote waliokwama kupata huduma hiyo katika mazingira wanayodhani ni tatanishi, tafadhali haraka wanitumie ujumbe (sms) mimi mwenyewe Dkt. GwajimaD (Mb) Waziri wa MJJWM kwenye namba 0765345777 au 0734124191 Ili nipate watu kadhaa wenye stori za kuanzia Ili nielewe vizuri changamoto hii ilivyo halafu tunyooshe mambo.

Ahsanteni sana kwa kufuatilia taarifa za Wizara ya Jamii kupitia kurasa zake mbalimbali na pia kurasa zangu za kuanzia Jamii Forums, Instagram, Facebook, Twitter na TikTok ili kuelimishana na kubadilishana mawazo.

Karibuni, #Wizara ya Jamii Fahari ya Jamii#.

IMG-20230928-WA0097.jpg
 
Hivyo, natoa wito tafadhali wote waliokwama kupata huduma hiyo katika mazingira wanayodhani ni tatanishi, tafadhali haraka WANITUMIE UJUMBE (sms) MIMI MWENYEWE Dkt GwajimaD (Mb) Waziri wa MJJWM kwenye namba 0765345777 au 0734124191 Ili nipate watu kadhaa wenye stori za kuanzia Ili nielewe vizuri changamoto hii ilivyo halafu tunyooshe mambo.

Ahsanteni sana kwa kufuatilia taarifa za Wizara ya Jamii kupitia kurasa zake mbalimbali na pia KURASA ZANGU za kuanzia Jamii Forums, Instagram, Facebook, Twitter na TikTok Ili kuelimishana na kubadilishana mawazo.

Karibuni, #Wizara ya Jamii Fahari ya Jamii#View attachment 2765876
Mheshimiwa Anza na ukatili Kwa watoto kuanzia nyumbani
 
Ahsante Sana. Hili eneo tunapambana Sana, tufuatilie kwenye kurasa zetu na pia fuatilia kwenye page ya Instagram ya mabalozi wa SMAUJATA, SAWATA, FAGDI, sasa tuna mtandao wa Malezi ya Kambo na kuasili, yaani ukijiunga na kimojawapo hapo tutaongeza timu. Tuna program ya MTAKUWWA pia. Karibu sana
 
Ndugu Wananchi, nawasalimu kwa Jina la JMT

Nimekuwa nikipokea taarifa kutoka kwa baadhi ya wanajamii kuwa zipo changamoto na usumbufu ambao ni mtihani sana kupata huduma za mtoto wa kumlea malezi ya Kambo au Kuasili kiasi kwamba, eti baadhi wenye sifa na vibali wanakata tamaa huku watoto wenye sifa wapo na hawana huduma ya malezi.

Hivyo, natoa wito tafadhali wote waliokwama kupata huduma hiyo katika mazingira wanayodhani ni tatanishi, tafadhali haraka WANITUMIE UJUMBE (sms) MIMI MWENYEWE Dkt GwajimaD (Mb) Waziri wa MJJWM kwenye namba 0765345777 au 0734124191 Ili nipate watu kadhaa wenye stori za kuanzia Ili nielewe vizuri changamoto hii ilivyo halafu tunyooshe mambo.

Ahsanteni sana kwa kufuatilia taarifa za Wizara ya Jamii kupitia kurasa zake mbalimbali na pia KURASA ZANGU za kuanzia Jamii Forums, Instagram, Facebook, Twitter na TikTok Ili kuelimishana na kubadilishana mawazo.

Karibuni, #Wizara ya Jamii Fahari ya Jamii#View attachment 2765876

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Karibuni kwa elimu ya utaratibu
IMG-20230929-WA0005.jpg
IMG-20230929-WA0004.jpg
 
Pongezi kwako mh. waziri mama gwajima, kwa kuwa mfano bora kwa viongozi wengine kwa hatua hii kuja hapa JF kushirikisha jamii katika changamoto unazozonuia kuzitatua.

Mungu aendelee kukupa ujasiri na busara daima katika utumishi wako.
 
Ubarikiwe. Nashukuru kwa ushirikiano wenu. Changamoto zetu za maendeleo na ustawi wa jamii zinahitaji uthubutu wetu jamii kwenye kuzitambua, kuzikiri, kuzijadili na kuzipatia ufumbuzi wa pamoja na kuzitekeleza kwa pamoja na kuwa na utayari wa kupokea maoni ya kila mmoja kwenye hatua zote. Naomba ushirikiano wenu na maoni yenu. Jamii Yetu Fahari yetu wote

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu Wananchi, nawasalimu kwa Jina la JMT

Nimekuwa nikipokea taarifa kutoka kwa baadhi ya wanajamii kuwa zipo changamoto na usumbufu ambao ni mtihani sana kupata huduma za mtoto wa kumlea malezi ya Kambo au Kuasili kiasi kwamba, eti baadhi wenye sifa na vibali wanakata tamaa huku watoto wenye sifa wapo na hawana huduma ya malezi.

Hivyo, natoa wito tafadhali wote waliokwama kupata huduma hiyo katika mazingira wanayodhani ni tatanishi, tafadhali haraka wanitumie ujumbe (sms) mimi mwenyewe Dkt. GwajimaD (Mb) Waziri wa MJJWM kwenye namba 0765345777 au 0734124191 Ili nipate watu kadhaa wenye stori za kuanzia Ili nielewe vizuri changamoto hii ilivyo halafu tunyooshe mambo.

Ahsanteni sana kwa kufuatilia taarifa za Wizara ya Jamii kupitia kurasa zake mbalimbali na pia kurasa zangu za kuanzia Jamii Forums, Instagram, Facebook, Twitter na TikTok ili kuelimishana na kubadilishana mawazo.

Karibuni, #Wizara ya Jamii Fahari ya Jamii#.

View attachment 2765876
Mh. Waziri
Ungetusaidia kuvifahamu vigezo ambavyo mtu anapaswa kuwa navyo ili aweze kuasili mtoto huenda wengi wanakuwa hawavifahamu ndiyo maana wanakwama
 
Hongera waziri kwa kutenga muda wako kwa ajili ya kuwasiliana na wananchi.

Watu wengi wenye uwezo utamani kuasili watoto na kuwalea vyema. Tatzo wengi hawajui wafuate taratibu zipi na waanzie wapi. Pia kuna usumbufu wanapata kupitia ustawi wa jamii (Nadhani huku ndio pa kuanzia).

Pamoja na kigezo cha umri ulichoainisha je

1. Suala la kuwa anayetaka kuasili lazima awe na ndoa? Ni kweli?
2. Je kisera kuna haki sawa ya kuasili kati ya muasili mwanamke na mwanaume?
3. Unapoasili inachukua muda gani mpaka mtoto uweze kumpa miliki ya jina lako( kama ikihitajika kufanya hvyo).

Thanks in advance
 
Ahsante Sana kwa maswali mazuri. Uzi huu tuutunze. Nitakuja na majibu yakiwa vzr kimtiririko wote tuelewe na mtu asitusumbue tena pale huduma hii inapohitajika. Shukrani

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu Wananchi, nawasalimu kwa Jina la JMT

Nimekuwa nikipokea taarifa kutoka kwa baadhi ya wanajamii kuwa zipo changamoto na usumbufu ambao ni mtihani sana kupata huduma za mtoto wa kumlea malezi ya Kambo au Kuasili kiasi kwamba, eti baadhi wenye sifa na vibali wanakata tamaa huku watoto wenye sifa wapo na hawana huduma ya malezi.

Hivyo, natoa wito tafadhali wote waliokwama kupata huduma hiyo katika mazingira wanayodhani ni tatanishi, tafadhali haraka wanitumie ujumbe (sms) mimi mwenyewe Dkt. GwajimaD (Mb) Waziri wa MJJWM kwenye namba 0765345777 au 0734124191 Ili nipate watu kadhaa wenye stori za kuanzia Ili nielewe vizuri changamoto hii ilivyo halafu tunyooshe mambo.

Ahsanteni sana kwa kufuatilia taarifa za Wizara ya Jamii kupitia kurasa zake mbalimbali na pia kurasa zangu za kuanzia Jamii Forums, Instagram, Facebook, Twitter na TikTok ili kuelimishana na kubadilishana mawazo.

Karibuni, #Wizara ya Jamii Fahari ya Jamii#.

View attachment 2765876
Nakupigia muda sio mrefu
 
Sikuwahi kujua kama mama Dkt Gwajima yumo humu...

1. Je, huu mpango umejiandaa vipi kuzuia watu wenye nia ovu kujichomeka katika kivuli cha kuasili watoto?

2. Moja ya matatizo yenye kusumbua jamii ya wanadamu kwa sasa ikiwemo Watanzania ni tatizo la afya ya akili, je kuna screening itayofanywa au inayofanywa na wataalamu wa wizara kung'amua utimamu wa kiakili kwa watu wanaoomba kuasili watoto?
 
Mkuu Mimi ni mnyisanzu wa ndani ndani kiswahili kwangu butu

Ndugu mtoa mada(Waziri),tunaomba utoe ufafanuzi kidogo wa neno kuasili angalau watu wapate mwanga kidogo wa mada inayoendelea,

Japo kiswahili ni chetu,ila kiswahili Cha kwenye kamusi wengi hatukijui
 
Back
Top Bottom