Ni Kwanini huyu U.S. Tycoon agharamie Ujenzi wa Serengeti Airport? Je, ni Malipo kwa 350,000 acres?

Hii ngoma ni kwa ajili ya wanaserengeti, sasa wewe mdengereko wa rufiji unatafuta nini?

Mwita Maranya
Acha hivo kule kwenye gesi ya Mtwara unatafuta nini? Ukabila umekujaa mpaka kwenye kopi za macho; ungehama Segerea ukarudi zako Serengeti; hapa nitajibu yale maoni yako kwa ufupi .
1. Ulinzi wa rasimali za nchi ni jukumu la wananchi wenyewe; serikali haiwezi kuwa kila pahala wewe kama mwananchi una jukumu la ulinzi wa rasimali zako; moja ya jukumu hilo ni kuhahakisha unachagua viongozi wataokidhi kuna ubaya gani kiongozi wako wa nchi akienda kupumzika Serengeti? Hapa unaonyesha ni jinsi ulivyokuwa mfinyu wa akili; je ulitaka aende Paris?
2. Hakuna nchi hata moja hakuipata matatizo wakati wa sheria za uwekezaji zinaanzishwa; nyingi ya hizi sheria zilikuwa hafifu kwa kigezo cha kuvutia wawekezaji; Urusi yalitokea matatizo kama haya; hivi kuna siku hata moja serikali ya CCM imesema haitaki kupitia sheria uwekezaji ambazo hazina manufaa kwa taifa? Zipo sheria nyingi zinafanyiwa marekebisho ili ziende na wakati
3. Jukumu la elimu bora haliishii kwa serikali tu; linaanzia kwa wazazi; tatizo lako kuna wakati unaongea kama pimbi kutokana na upeo mdogo wa kuelewa mambo; niliposema mwekezaji abanwe ili atoe elimu husika kwa wakazi wa maeneo ili wapate ajira naona kutokana na upeo mdogo wa kuchambua mambo umejibu utumbo; ikiwa kama wananchi wa Serengeti hawana elimu inayohusiana na biashara ya mwekezaji upo uwezekano mkubwa akaajiri watu kutoka mikoa mingine; leo mnalalamika kaajiri makaburu na wakenya; kesho utakuja na wengine na kudai mwekezaji kaajiri wahaya na wasukuma; Mwita Maranya jitahidi utembee hili akili zako umezifungia Segerea.
4. Ndani ya CCM wapo viongozi mahiri ambao wanauwezo mkubwa sana; tunao kina Hugo Chavez wapo watu wana uchungu na nchi yetu hilo halina shaka yoyote; 2015 tuna shinda kama kawaida tena kuilaini sasa hiyo do or die yako utaamua mwenyewe kunywa sumu au ujizike ukiwa hai.

Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz
 
nimeishakuonya usikurupuke kama mtu aliyekalia kitu kigumu chenye ncha. Sisi tunajadili rasilimali zinazopokwa wilayani kwetu. Tunatofautiana kwamba sisi watu wa bara tulipewa 'akili' nanyi wazaramo mkapewa 'mdomo'. Kama huwezi jenga hoja ktk mjadala huu, kaa pembeni sikiliza. Usiwe na kimbelembele cha kunyoosha mkono ilihali hata swali hulijui.

Inaonekana umekalia kitu! nani kakwambia mimi mzaramo? Rasimali unazoongelea zipo Tanzania na mimi ni mtanzania tatizo lipo wapi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Inaonekana umekalia kitu! nani kakwambia mimi mzaramo? Rasimali unazoongelea zipo Tanzania na mimi ni mtanzania tatizo lipo wapi?

Chama
Gongo la mboto DSM

Ndio, rasilimali ninazoziongelea zipo Tz. Nchi yetu pamoja na kuwa ina ukwasi wa rasilimali za kila aina bado ni hodari kwa kutembeza bakuli nchi nyingine ilihali tunashindwa kudhibiti rasilimali zetu na kuacha zikiporwa. Yule atachangia gesi ya mtwara, wewe utachangia kilimo bora mananasi ya bagamoyo, mwingine atachangia dhahabu ya Geita na mimi nachangia utalii wa Serengeti. Zote hizi ni rasilimali zetu sote. Kama wewe utachamaza mananasi yakose soko mimi sinyamazi utalii wetu usinufaishe wilaya yangu.
 
Na mimi nachangia ili taifa langu linufaike; Serengeti si ipo Tanzania?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
"Fedha/Pesa ni Mungu" - Hinduism. kama usipokuwa na fedha mwenye fedha atakwambia ufanye lolote; mtu akijitolea kukusaidia kwa kujenga uwanja wa ndege bure sio lazima umlipe lakini anaweza akasema chochote. Nina imani na serikali kwamba itafanya jambo la hekima, sidhani kumpa mtu ardhi kwa miaka 99 ni la kweli.

Anyhow, nadhani badala ya kuandika hapa mtu anaweza akafwatilia wizarani na kutueleza kama kuna makubaliano yoyote na akaja kutufahamisha hapa.
 
lol, unanichekesha sana mkuu kwa porojo zako. Mitaa yote kule Majani mapana, nguvumali wananijua. Walimu wangu wananijua, wanafunzi wenzangu wananijua, wananchi wangu wananijua na hata raisi wako ananijua. Wewe nani anakujua?. Sitegemei kukinga mkono Lumumba ili niweze pata posho. Nimekwambia mimi si mwanasiasa ila nazipenda siasa.

Vipi umeamka? usiongee vitu kama pimbi walimu na wanafunzi lazima wakujue; Raisi ni binadamu kuna ubaya gani wa kukujua wewe? wewe ni mmoja wa wapiga kura wake; unanifurahisha sana kuna siku hata moja ulisikia nakinga posho Lumumba? Hata mimi si mwanasiasa ila naunga mkono CCM na serikali yake. Serengeti lini? Tukawaelemishe madiwani? Hizi hoja zitakuwa na maana kama zitawafikia wahusika.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Unajua jambo usilolijua ni usiku wa kiza,

Tunapiga makelele kuhusu huyo mzungu wa mugumu mbona hatupigi makelele kuhusu barick na ggm ambao wana vuruga mazingira physical na chemicaly lakini mzungu wa watu yeye anajenga hotel avurugi mazingira ndio mnaanza kupiga mayowe.
Hiyo hotel imewapatia watu kibao ajira wa kijijini hapo mimi kwa macho yangu naoana watu wa natta wakija kufanya kazi za hotel wengine wakipewa mafunzo hapohapo wamejenga kijichuo flani.
Pia hao jamaa wanalinda wanyama mchana na usiku maana kama sio jeuri ya pesa katika kurinda wanyama hayo maeneo yalikuwa hayana wanyama lakini sasa hivi wanyama tele na hao jamaa ndio wanaongoza kulipa kodi kubwa mkoa wa mara hata Northmara haijafika hao wazungu wanajua thamani ya mnyama pori mpaka gari zao zote zimefungwa gps ku track speed ili kulinda wanyama.

Sasa najiuliza mnapinga ili iweje? Maana mpaka sasa hapo hotelini kunawafanyakazi wa serikali anaefatilia wageni wanaoingia na kutoka mimi nadhani hakuna haja ya kupiga mayowe wakati mazingira hayavulugwi na kodi inaingia hao jamaa sio wakwepa kodi aisee wako makini sana nimefanya nao kazi sana hususani Finance department hivyo nawajua vizuri sana.
 
Mkuu Think pad
Afadhali kitu chenye kueleweka kuna watu kama kina Mwita Maranya yupo Segerea, si ajabu hata huko Serengeti hajafika; lakini anataka kusema uwongo mwingi usio kipimo yote kutaka kuichafua serikali natumai atakuwa amekusoma vizuri,
Chama
Gongo la mboto DSM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Msiwe just haters! Si muulize tu jamaa anaingiza mapato kiasi gani kupitia TRA?. Mnajua hotel yake ilikuwa number one dunuani mwaka juzi na mwaka 2012?. Unajua uwanja ukikamilika watalii hawatoshuka Nairobi na kuacha baadhi ya mapato kule bali watakuja direct to to Serengeti na kulala Tz. Hii ni advantage kwa soko la utalii tz Maadui zake katika soko la utalii ni wengi pia

Hii hotel inaongoza kwakutoa kodi mkoa wa mara.

Ngoja tuone
 
Mkuu Think pad
Afadhali kitu chenye kueleweka kuna watu kama kina Mwita Maranya yupo Segerea, si ajabu hata huko Serengeti hajafika; lakini anataka kusema uwongo mwingi usio kipimo yote kutaka kuichafua serikali natumai atakuwa amekusoma vizuri,
Chama
Gongo la mboto DSM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

chama mbona unakuwa obsessed sana na wanaume kulikoni? Jifunze kuishi maisha ya kujitegemea sio kutunzwa na wanaume wenzako hata ukiwa state.
Hujui chochote kuhusu Serengeti bora ukae kimya kuliko huu upoyoyo unaofanya hapa.
 
Last edited by a moderator:
chama mbona unakuwa obsessed sana na wanaume kulikoni? Jifunze kuishi maisha ya kujitegemea sio kutunzwa na wanaume wenzako hata ukiwa state.
Hujui chochote kuhusu Serengeti bora ukae kimya kuliko huu upoyoyo unaofanya hapa.

Mwita Maranya
Hapa unajibizana na mwanaume wa nguvu mambo ya kidedea kulialia ovyo mtoto wa kiume acha mimi naijua Tanzania kitakotako; umeanza uongo tangu jana Think Pad amekuja na maneno mazito unaanza kulia, tatizo hiyo Serengeti huijui unamsikia tu afande Maranya akiitaja; hujawahi hata kufika; wewe umezaliwa kwenye makambi ya JWTz Serengeti unaijuaje tupe habari za Segerea hizo ndizo unazozijua; vipi lakini Kanali hajambo?
Chama
Gongo la mboto DSM

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Unajua jambo usilolijua ni usiku wa kiza,

Tunapiga makelele kuhusu huyo mzungu wa mugumu mbona hatupigi makelele kuhusu barick na ggm ambao wana vuruga mazingira physical na chemicaly lakini mzungu wa watu yeye anajenga hotel avurugi mazingira ndio mnaanza kupiga mayowe.
Hiyo hotel imewapatia watu kibao ajira wa kijijini hapo mimi kwa macho yangu naoana watu wa natta wakija kufanya kazi za hotel wengine wakipewa mafunzo hapohapo wamejenga kijichuo flani.
Pia hao jamaa wanalinda wanyama mchana na usiku maana kama sio jeuri ya pesa katika kurinda wanyama hayo maeneo yalikuwa hayana wanyama lakini sasa hivi wanyama tele na hao jamaa ndio wanaongoza kulipa kodi kubwa mkoa wa mara hata Northmara haijafika hao wazungu wanajua thamani ya mnyama pori mpaka gari zao zote zimefungwa gps ku track speed ili kulinda wanyama.

Sasa najiuliza mnapinga ili iweje? Maana mpaka sasa hapo hotelini kunawafanyakazi wa serikali anaefatilia wageni wanaoingia na kutoka mimi nadhani hakuna haja ya kupiga mayowe wakati mazingira hayavulugwi na kodi inaingia hao jamaa sio wakwepa kodi aisee wako makini sana nimefanya nao kazi sana hususani Finance department hivyo nawajua vizuri sana.

acha kupotosha...Natta watu wangapi pale wamepata ajira ya kudumu?. Hayo mazingira yalikuwa yanatunzwa hata kabla ya huyo mzungu kuja. Hawa jamaa tena ni wakwepa kodi wakubwa kwani hata bidhaa nyingi wana-import na hazilipiwi kodi, dege lao linatua pale mojakwamoja.
 
Chifu Mangungo wa Msovero ni miongoni mwa machifu wa Tanganyika aliyesaini mkataba na wajerumani enzi za ukoloni. Mikataba hiyo ndio ilipelekea kutawaliwa na wajerumani. Inadaiwa kwamba eti hakujua kusoma wala kuandika.

Je, hawa viongozi wetu hawajui kusoma wala kuandika?
 
acha kupotosha...Natta watu wangapi pale wamepata ajira ya kudumu?. Hayo mazingira yalikuwa yanatunzwa hata kabla ya huyo mzungu kuja. Hawa jamaa tena ni wakwepa kodi wakubwa kwani hata bidhaa nyingi wana-import na hazilipiwi kodi, dege lao linatua pale mojakwamoja.

Mbona sioni tofauti ya akili yako? Nilitegemea baada ya kuamka utakuwa Warioba mpya; kama inabidi rudi tena kulala

Back
Top Bottom