Warioba E. W
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 163
- 64
Mwita Maranya
Hapa unajibizana na mwanaume wa nguvu mambo ya kidedea kulialia ovyo mtoto wa kiume acha mimi naijua Tanzania kitakotako; umeanza uongo tangu jana Think Pad amekuja na maneno mazito unaanza kulia, tatizo hiyo Serengeti huijui unamsikia tu afande Maranya akiitaja; hujawahi hata kufika; wewe umezaliwa kwenye makambi ya JWTz Serengeti unaijuaje tupe habari za Segerea hizo ndizo unazozijua; vipi lakini Kanali hajambo?
Chama
Gongo la mboto DSM
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mkuu Mwita MaranyaTatizo lako unafanya mambo kimatakomatako kama unavyokiri mwenyewe.
Si ajabu unaishi state kimatakomatako. Pole kwa wazee wako kwa kupata hasara.
Kama hoja ni mfumo basi litakuwa ni kosa pia kuwapa Chadema; nionyeshe ni kwa uzuri gani wa uliopo kwenye hicho chama chako ikiwa kitu kidogo kama ruzuku ni siri ya watendajia ambao hawazidi 4? Naona unatetea matapishi ambayo hayaliki; tafuta chama kingine ila sio Chadema chini ya slaa
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu Mwita Maranya
Hutaki kuja kutembea North America akili yako ifunguke? Naona hii kukaa sana Segerea ni tatizo sana kwako; sema nikupe mwaliko nina uhakika ukirudi bongo utakuwa mtu mpya! Tuongee kiutu uzima haya mambo ya CCM na Chadema tuyaweke kando; wewe jamaa yangu kabisa kanali hajambo?
Chama
Gongo la mboto DSM
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
chama mbona unakuwa obsessed sana na wanaume kulikoni? Jifunze kuishi maisha ya kujitegemea sio kutunzwa na wanaume wenzako hata ukiwa state.
.
Tatizo lako unafanya mambo kimatakomatako kama unavyokiri mwenyewe.
Si ajabu unaishi state kimatakomatako. Pole kwa wazee wako kwa kupata hasara.
Mundungus Fletcher
Unapoandika pumba jifundishe kufupisha hivi kwa akili yako chama ana muda wa kusoma pumba nyingi kama zile?
Chama
Gongo la mboto DSM
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Vipi kaka . Kama umeshondwa hoja basi, sio lazima uendelee kupost. Unatu disappoint watu wa serengeti.
Sasa wewe umetoa hoja gani hapa tangu mjadala huu uanze? Unadhani unaweza kuifahamu Serengeti kuliko mimi? Unadhani unaweza kulifahamu hili gamba Chama kuliko mimi?
Watu wazima tukiwa tunaongea watoto wadogo msipende kujipitisha pitisha! Hiki kinachojadiliwa hapa kiko juu ya uwezo wako bwanamdogo.
Huonekani ukiongea katika frequency wanayoongelea wanaserengeti ndio maana nikakufananisha na mdengereko wa rufiji. Kama wewe ni mwenzetu basi tunahitaji mawazo yako namna ya kuwafanya watu wetu waweze kufaidika na rasilimali za asili zilizopo kwetu kwakuwa wamezitunza kwa miaka yote lakini leo hii hata nyama pori imegeuka kuwa bidhaa adimu.
Vipi kaka . Kama umeshondwa hoja basi, sio lazima uendelee kupost. Unatu disappoint watu wa serengeti.
Sasa wewe umetoa hoja gani hapa tangu mjadala huu uanze? Unadhani unaweza kuifahamu Serengeti kuliko mimi? Unadhani unaweza kulifahamu hili gamba Chama kuliko mimi?
Watu wazima tukiwa tunaongea watoto wadogo msipende kujipitisha pitisha! Hiki kinachojadiliwa hapa kiko juu ya uwezo wako bwanamdogo.
Ningependa kujua mnataka kuikomboa kivipi? What exactly do you want to do? Na muweke bayana nikipi hasa mnachopinga
mkuu kaa pembeni, Mwita Maranya amejishusha hadi kujibishana nawewe, mpe heshima yake...acha kuchezea sharubu zake.
chama mbona unakuwa obsessed sana na wanaume kulikoni? Jifunze kuishi maisha ya kujitegemea sio kutunzwa na wanaume wenzako hata ukiwa state.
Hujui chochote kuhusu Serengeti bora ukae kimya kuliko huu upoyoyo unaofanya hapa.
Huu ndio ushamba unaokusumbua kudhani kwamba kutembelea north america ndio kujua kila kitu.
Mtu akisoma maandishi yako hakuna tofauti na wale waganga njaa wanaoshinda na kukesha lumumba. Huna tofauti na wale jamaa zako uliowaacha sakura na kwedihoza!
Tunatofautiana kwamba sisi watu wa bara tulipewa 'akili' nanyi wazaramo mkapewa 'mdomo'.