Ni kwa nini Madalali hawahusishwi kwenye Bajeti ikisomwa?

augustino ameri

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
267
57
kuna watu wengi sehemu mbalimbali za nchi hufanya kazi za udalali na pia wengine wana ofisi zimeandikwa kama vile dalali wa viwanja,dalali wa vyumba ,dalali wa mazao nk.naomba mnijuze hivi hawa hulipa kodi.Wengine ofisi zao ni vijiwen lakin kwa ukumla wanavipato vizuri.
 
kuna watu wengi wanaofanya kazi ya udalali wengine wana ofisii zimeandikwa dalali wa vyumba,wa viwanja,wa nyumba wa mashamba wa mazao.Pia wengine hawana ofisi lakini ni wadau wakubwa na wanamaeneo yao ,ningependa kujua hivi hawa hulipa kodi?
 
Back
Top Bottom