ha ha ha ha ha ha...uongo humjui bana!apia kama unamjuanamjua huyo mwenye sweta
yule dada simuoni siku hizi hivi yupo?au alikuwa wa kazi maalum?Wazee wa kaunda suti wako makini sana.
Mama janet kaleta noma ,yule dada simuoni siku hizi hivi yupo?au alikuwa wa kazi maalum?
Lakini hapo naona ni Pombe mwenyewe kama vile analiogopa/kulikimbia kapeti, hivyo mkuu wa mkoa hana kosa.RC kakiuka protocal kwa kujimiliksha red carpet
Umeiona mkuuRC kakiuka protocal kwa kujimiliksha red carpet