Ni kupiga chini michepuko hakuna namna

Ni kupiga chini michepuko hakuna namna

Man Mvua

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2016
Posts
2,179
Reaction score
3,522
Salaam.
Nina mambo Mengi mno ya kueleza lakini kwa sababu sipendi kuwachosheni itabidi nifupishe.
Baada ya kuamishwa kikazi kuja mwanza nilipata binti( mama wa mtoto mmoja) sharti alilonipatia ni kumpangia nyumba, Nami nikakubaliana nae sasa baada ya kupanga anaanza kunitajia vitu kibao anataka sofa, flat screen, kitanda cha chuma, subwoofer, red carpet, vyombo vipya nk.
Ukiangalia mirija yote ya kupata pesa ya ziada siku hızı hakuna mtu unategemea mshahara tu nao ni laki Saba tu kwa mwezi. Pili sijaona faida kabisa ya kuwa na mchepuko usawa huu ni vikwazo vikubwa vya maendeleo. Hivyo niamua kupiga chini kwa sababu input ni kubwa mno kuliko output.

Labla anayejua faida ya kuwa na mademu wa staili hii anijuze.
 
Pole mkuu ndio walivyo wanawake wengi wakipata kitonga kaona mambo ni mteremko kwako
 
Ila wakuu tuache matani papuchi ya mchepuko mara nyingi huwa ni tamu!
btw so dili saana kama mfuko ni mwembamba; piga chini usile nyasi mjini ohoo!!
 
tatizo vidada vya sikuizi vinapenda slope sana... yan iyo papuchi wanaona big issue

mm namsubiri mchina atuletee za kichinaa!! mbona watalia machozi ya damu!
 
Vya mchina havina raha km original...ujui hd watu wanauwan sbb ya hii kitu
 
Hasa wewe unataka mchepuko alafu mfuko unasoma kwa shida,na hali hii ya magu unategemea nn?bora ungetafuta ht mchepuko usio na mtoto,sasa huyo mmama alafu ana katoto unategemea nn si utakuwa baba mlezi,tena jiandae xmss inakaribia bajeti ya nguo za mtoto uwiwekee kabisa
 
Salaam.
Nina mambo Mengi mno ya kueleza lakini kwa sababu sipendi kuwachosheni itabidi nifupishe.
Baada ya kuamishwa kikazi kuja mwanza nilipata binti( mama wa mtoto mmoja) sharti alilonipatia ni kumpangia nyumba, Nami nikakubaliana nae sasa baada ya kupanga anaanza kunitajia vitu kibao anataka sofa, flat screen, kitanda cha chuma, subwoofer, red carpet, vyombo vipya nk.
Ukiangalia mirija yote ya kupata pesa ya ziada siku hızı hakuna mtu unategemea mshahara tu nao ni laki Saba tu kwa mwezi. Pili sijaona faida kabisa ya kuwa na mchepuko usawa huu ni vikwazo vikubwa vya maendeleo. Hivyo niamua kupiga chini kwa sababu input ni kubwa mno kuliko output.

Labla anayejua faida ya kuwa na mademu wa staili hii anijuze.
we mpangie sie tule papuchi
 
Huyo anakuchuna kweli kweli we piga chini anahisi wewe ndo mkombozi wa maisha yake michepuko haina maana kama ukishindwa hamia kwa hawa wanaovaa uniform hawana gharama sana
 
teh teh ....

Mi cjaelewa input kubwa mno au output"?
 
Back
Top Bottom