Unaweza kufika hapo?
yaani hapo hatari sanaaaaaa
hatari gani?? We unajuaje hapo uliposimama au kaa, chini kuna bonge la uwazi km kadhaa?
We jidanganye tu.
View attachment 139326
......kukosa la kufanya????Au????
![]()
bila shaka ni irente view point bibie au...Inanikumbusha Lushoto.
Au????
![]()
bila shaka ni irente view point bibie au...