Steve Dii JF-Expert Member Joined Jun 25, 2007 Posts 6,402 Reaction score 1,305 Jan 29, 2009 #1 Lipi au yapi ni sahihi katika sentensi zifuatazo, naomba msaada kufahamu matumizi fasaha tafadhali. --- Waziri ameapishwa na Rais --- Waziri ameapizwa na Rais --- Waziri atamwapisha katibu wake --- Waziri atamwapiza katibu wake Akhsanteni. SteveD.
Lipi au yapi ni sahihi katika sentensi zifuatazo, naomba msaada kufahamu matumizi fasaha tafadhali. --- Waziri ameapishwa na Rais --- Waziri ameapizwa na Rais --- Waziri atamwapisha katibu wake --- Waziri atamwapiza katibu wake Akhsanteni. SteveD.
Exaud J. Makyao JF-Expert Member Joined Nov 30, 2008 Posts 1,518 Reaction score 27 Jan 29, 2009 #2 SteveD said: Lipi au yapi ni sahihi katika sentensi zifuatazo, naomba msaada kufahamu matumizi fasaha tafadhali. --- Waziri ameapishwa na Rais --- Waziri ameapizwa na Rais --- Waziri atamwapisha katibu wake --- Waziri atamwapiza katibu wake Akhsanteni. SteveD. Click to expand... Yote sawa. Hakuna haja ya complication SteveD
SteveD said: Lipi au yapi ni sahihi katika sentensi zifuatazo, naomba msaada kufahamu matumizi fasaha tafadhali. --- Waziri ameapishwa na Rais --- Waziri ameapizwa na Rais --- Waziri atamwapisha katibu wake --- Waziri atamwapiza katibu wake Akhsanteni. SteveD. Click to expand... Yote sawa. Hakuna haja ya complication SteveD
Augustine Moshi JF-Expert Member Joined Apr 22, 2006 Posts 2,556 Reaction score 1,394 Jan 30, 2009 #3 Kuapisha ni kumfanya mtu ale kiapo. Kuapiza ni kumtakia mtu mabaya. Rais haapizi mawaziri bali anawaapisha. Kuna wazee wanaoapiza watoto wao kama hawawatendei haki.
Kuapisha ni kumfanya mtu ale kiapo. Kuapiza ni kumtakia mtu mabaya. Rais haapizi mawaziri bali anawaapisha. Kuna wazee wanaoapiza watoto wao kama hawawatendei haki.
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,858 Feb 1, 2009 #4 Augustine Moshi said: Kuapisha ni kumfanya mtu ale kiapo. Kuapiza ni kumtakia mtu mabaya. Rais haapizi mawaziri bali anawaapisha. Kuna wazee wanaoapiza watoto wao kama hawawatendei haki. Click to expand... Kwa nyongeza neno hapiza ni kumlani mtu...! Kuachiwa ladhi mbaya...
Augustine Moshi said: Kuapisha ni kumfanya mtu ale kiapo. Kuapiza ni kumtakia mtu mabaya. Rais haapizi mawaziri bali anawaapisha. Kuna wazee wanaoapiza watoto wao kama hawawatendei haki. Click to expand... Kwa nyongeza neno hapiza ni kumlani mtu...! Kuachiwa ladhi mbaya...
Augustine Moshi JF-Expert Member Joined Apr 22, 2006 Posts 2,556 Reaction score 1,394 Feb 16, 2009 #5 X-PASTER said: Kwa nyongeza neno hapiza ni kumlani mtu...! Kuachiwa ladhi mbaya... Click to expand... Si kuachiwa "ladhi" bali ni kuachiwa "radhi". Imebidi kumsahihisha msahihishaji! Inashangaza jinsi Watanzania wengi wasivyoweza kutofautisha kati ya "r" na "l". What is the root cause of that?
X-PASTER said: Kwa nyongeza neno hapiza ni kumlani mtu...! Kuachiwa ladhi mbaya... Click to expand... Si kuachiwa "ladhi" bali ni kuachiwa "radhi". Imebidi kumsahihisha msahihishaji! Inashangaza jinsi Watanzania wengi wasivyoweza kutofautisha kati ya "r" na "l". What is the root cause of that?
S Sahiba JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 303 Reaction score 1 Feb 16, 2009 #6 EXAUD J. MAKYAO said: Yote sawa. Hakuna haja ya complication SteveD Click to expand... Huyu nae mwengine kiswahili hajui huyu mkongo.
EXAUD J. MAKYAO said: Yote sawa. Hakuna haja ya complication SteveD Click to expand... Huyu nae mwengine kiswahili hajui huyu mkongo.
Kuhani JF-Expert Member Joined Apr 2, 2008 Posts 2,944 Reaction score 79 Feb 16, 2009 #7 Augustine Moshi said: What is the root cause of that? Click to expand... Inawezekana ni kwa sababu hatujivunii, hatusikii ufahari kujifunza, lugha zetu wenyewe.
Augustine Moshi said: What is the root cause of that? Click to expand... Inawezekana ni kwa sababu hatujivunii, hatusikii ufahari kujifunza, lugha zetu wenyewe.