gunnar andersen New Member Joined Jul 31, 2020 Posts 1 Reaction score 0 Jul 31, 2020 #1 Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili. Kwa matokeo haya; PHYSICS -D CHEMISTRY -C BIOLOGY -B MATHS -D ENGLISH -C (i) Je, niombe chuo gani cha afya cha serikali ili niweze kukubaliwa kwa urahisi? (ii) Ni, kozi ipi ya afya niombe zaidi?, asanteni.
Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili. Kwa matokeo haya; PHYSICS -D CHEMISTRY -C BIOLOGY -B MATHS -D ENGLISH -C (i) Je, niombe chuo gani cha afya cha serikali ili niweze kukubaliwa kwa urahisi? (ii) Ni, kozi ipi ya afya niombe zaidi?, asanteni.
Future planner Member Joined Feb 27, 2019 Posts 36 Reaction score 6 Aug 1, 2020 #2 gunnar andersen said: Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili. Kwa matokeo haya; PHYSICS -D CHEMISTRY -C BIOLOGY -B MATHS -D ENGLISH -C (i) Je, niombe chuo gani cha afya cha serikali ili niweze kukubaliwa kwa urahisi? (ii) Ni, kozi ipi ya afya niombe zaidi?, asanteni. Click to expand... Diploma
gunnar andersen said: Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili. Kwa matokeo haya; PHYSICS -D CHEMISTRY -C BIOLOGY -B MATHS -D ENGLISH -C (i) Je, niombe chuo gani cha afya cha serikali ili niweze kukubaliwa kwa urahisi? (ii) Ni, kozi ipi ya afya niombe zaidi?, asanteni. Click to expand... Diploma
Future planner Member Joined Feb 27, 2019 Posts 36 Reaction score 6 Aug 1, 2020 #3 gunnar andersen said: Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili. Kwa matokeo haya; PHYSICS -D CHEMISTRY -C BIOLOGY -B MATHS -D ENGLISH -C (i) Je, niombe chuo gani cha afya cha serikali ili niweze kukubaliwa kwa urahisi? (ii) Ni, kozi ipi ya afya niombe zaidi?, asanteni. Click to expand... Diploma in Health information science.... Bugando na CEDHA arusha
gunnar andersen said: Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili. Kwa matokeo haya; PHYSICS -D CHEMISTRY -C BIOLOGY -B MATHS -D ENGLISH -C (i) Je, niombe chuo gani cha afya cha serikali ili niweze kukubaliwa kwa urahisi? (ii) Ni, kozi ipi ya afya niombe zaidi?, asanteni. Click to expand... Diploma in Health information science.... Bugando na CEDHA arusha
Geniustin JF-Expert Member Joined Mar 15, 2013 Posts 4,380 Reaction score 2,855 Aug 2, 2020 #4 gunnar andersen said: Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili. Kwa matokeo haya; PHYSICS -D CHEMISTRY -C BIOLOGY -B MATHS -D ENGLISH -C (i) Je, niombe chuo gani cha afya cha serikali ili niweze kukubaliwa kwa urahisi? (ii) Ni, kozi ipi ya afya niombe zaidi?, asanteni. Click to expand... Vyuo vipo vingi, vya Serikali na Binafsi...Tafuta uombe. Kozi omba Radiology (ipo Bugando, cheki pia kama Muhas wanayo!), Optometry (ipo KCMC), Clinical officer, Lab, Nursing, Pharmacy,
gunnar andersen said: Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili. Kwa matokeo haya; PHYSICS -D CHEMISTRY -C BIOLOGY -B MATHS -D ENGLISH -C (i) Je, niombe chuo gani cha afya cha serikali ili niweze kukubaliwa kwa urahisi? (ii) Ni, kozi ipi ya afya niombe zaidi?, asanteni. Click to expand... Vyuo vipo vingi, vya Serikali na Binafsi...Tafuta uombe. Kozi omba Radiology (ipo Bugando, cheki pia kama Muhas wanayo!), Optometry (ipo KCMC), Clinical officer, Lab, Nursing, Pharmacy,
STUKA M1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,731 Reaction score 7,353 Aug 2, 2020 #5 Geniustin said: Vyuo vipo vingi, vya Serikali na Binafsi...Tafuta uombe. Kozi omba Radiology (ipo Bugando, cheki pia kama Muhas wanayo!), Optometry (ipo KCMC), Clinical officer, Lab, Nursing, Pharmacy, Click to expand... Optometry iko miaka mingapi kwa Diploma..?
Geniustin said: Vyuo vipo vingi, vya Serikali na Binafsi...Tafuta uombe. Kozi omba Radiology (ipo Bugando, cheki pia kama Muhas wanayo!), Optometry (ipo KCMC), Clinical officer, Lab, Nursing, Pharmacy, Click to expand... Optometry iko miaka mingapi kwa Diploma..?
Geniustin JF-Expert Member Joined Mar 15, 2013 Posts 4,380 Reaction score 2,855 Aug 2, 2020 #6 Shombe la Kisomali said: Optometry iko miaka mingapi kwa Diploma..? Click to expand... Miaka Mitatu.
Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,000 Reaction score 1,560 Aug 2, 2020 #7 gunnar andersen said: Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili. Kwa matokeo haya; PHYSICS -D CHEMISTRY -C BIOLOGY -B MATHS -D ENGLISH -C (i) Je, niombe chuo gani cha afya cha serikali ili niweze kukubaliwa kwa urahisi? (ii) Ni, kozi ipi ya afya niombe zaidi?, asanteni. Click to expand... Omba course ya ufamasia uje uuze pharmacy
gunnar andersen said: Habari wadau wa Elimu, Samahani naomba kuuliza maswali mawili. Kwa matokeo haya; PHYSICS -D CHEMISTRY -C BIOLOGY -B MATHS -D ENGLISH -C (i) Je, niombe chuo gani cha afya cha serikali ili niweze kukubaliwa kwa urahisi? (ii) Ni, kozi ipi ya afya niombe zaidi?, asanteni. Click to expand... Omba course ya ufamasia uje uuze pharmacy