Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,368
kama hujui kiingereza bora ukae kimya au utumie lugha ya taifa.
its psychopath.
its psychopath.
kama hujui kiingereza bora ukae kimya au utumie lugha ya taifa.
its psychopath.
Jana nilimsikiliza Werema ITV, nimejiridhisha, he is arrogant na mbaya zaidi ni psychopath.
I was so disappointed, amemkosea adhabu shivji, mwalimu wake.amenichefua sana.
kwani shivj ni mungu mpaka yeye asikosee? ivi unataka kuniambia walimu wako wote kila wanalolizungumza wanakuwa wako sahihi? lamsingi unatakiwa kumsikiliza kamkosoa nini na shivj anasemaje.jamani hata huyo werema siyo kila kitu kwamba anakosea.
kwani shivj ni mungu mpaka yeye asikosee? ivi unataka kuniambia walimu wako wote kila wanalolizungumza wanakuwa wako sahihi? lamsingi unatakiwa kumsikiliza kamkosoa nini na shivj anasemaje.jamani hata huyo werema siyo kila kitu kwamba anakosea.
Tujadilini hoja ya werema kutetea muswada taahira kama huu wa mchakato wa katiba, werema akizungumza ktk kipindi cha DK 45 usiku cha itv alisema wasomi hawajui kiingereza ndo maana hawauelewi muswada...
Wote magambaHebu tazama wale waliokuwa na cheo kama hicho cha Werema leo wapo chama gani kisha utajua chama chake
Kwa hiyo anatuadaa watanzania?Nae ni gamba tu hana lolote,anatapa tapa tu.
Anadhani watanzania hatukumbuki historia??kwanini anajisikia sana mkurya yule na majigambo kasoma DC??eti yeye ndiye aliwafundisha wamarekani demokrasia ya nyumaba kumikumi!!!!Jamani hawa watu wamagamba!Werema alikwishawahi kujaribu kuwania ubunge zama zile 1995 kwa tiketi ya chama hicho hicho ambacho kimempa madaraka aliyonayo sasa. Akiwa AG na mshauri mkuu wa sheria wa Serikali, kikatiba yy ni mbunge mteule wa Rais aliyepo madarakani . Hawezi kukana gamba na ndio maana yupo msitari wa mbele kutetea wabunge wa CCM ambao ushindi wao unapingwa Mahakamani.
Maana wakimpa mpinzani hakawii kuwageuka kwa utumbo wanaoufanya!Ni wa CCM!! Hawezi kupata cheo alichonacho halafu awe chama kingine. Ile ni nafasi nyeti sana!!!
Wandugu wapendwa Hongereni na Pasaka +Muungano unao chechemea yote heri!
Mimi nimekuwa nikifuatilia kauli ya Mwanasheria Mkuu Jaji werema kwa kusema yeye siyo mwanachama wa CCM je yeye ni mwanachama wa chama gani??Mnaojua zaidi mtwambie!!
Naomba kuwakilisha!:A S 465:
Sioni sasa ya kudiscuss uanachama wa Werema hapa, wekeni hoja za msingi. Kama ni mwanachama wa nccr mageuzi so what?
Tujadilini hoja mfano hoja ya werema kutetea muswada taahira kama huu wa mchakato wa katiba, werema akizungumza ktk kipindi cha DK 45 usiku cha itv alisema wasomi hawajui kiingereza ndo maana hawauelewi muswada... Na anatamani kukutana na Prof. Shivji ili abishane nae maana nae kafundishwa kubisha!!
Ivi kuna chuo gani nchini au oversea kinachofundisha kubisha?