Ni Kombani, Werema (Star tv) & Wassira, Nape (TBC)

Wandugu wapendwa Hongereni na Pasaka +Muungano unao chechemea yote heri!
Mimi nimekuwa nikifuatilia kauli ya Mwanasheria Mkuu Jaji werema kwa kusema yeye siyo mwanachama wa CCM je yeye ni mwanachama wa chama gani??Mnaojua zaidi mtwambie!!
Naomba kuwakilisha!:A S 465:
 
Alipoingia katika kikao cha CC ya Chama cha Magamba hakujua kuwa yeye siyo mwanachama wa chama kile? Akiona wanajivua magamba ndiyo anawakana?
 
Sioni sasa ya kudiscuss uanachama wa Werema hapa, wekeni hoja za msingi. Kama ni mwanachama wa nccr mageuzi so what?
Tujadilini hoja mfano hoja ya werema kutetea muswada taahira kama huu wa mchakato wa katiba, werema akizungumza ktk kipindi cha DK 45 usiku cha itv alisema wasomi hawajui kiingereza ndo maana hawauelewi muswada... Na anatamani kukutana na Prof. Shivji ili abishane nae maana nae kafundishwa kubisha!!
Ivi kuna chuo gani nchini au oversea kinachofundisha kubisha?
 
Jana nilimsikiliza Werema ITV, nimejiridhisha, he is arrogant na mbaya zaidi ni psychopath.
I was so disappointed, amemkosea adhabu shivji, mwalimu wake.amenichefua sana.

kwani shivj ni mungu mpaka yeye asikosee? ivi unataka kuniambia walimu wako wote kila wanalolizungumza wanakuwa wako sahihi? lamsingi unatakiwa kumsikiliza kamkosoa nini na shivj anasemaje.jamani hata huyo werema siyo kila kitu kwamba anakosea.
 
Si jana tu.Katika makusanyo ya matukio na kauli alizowahi kutoa he is a psychopath.Pia anakiburi cha kupindukia.mtu mjinga ambaye hajijui kuwa yeye ni mjinga na analazimisha umma uamini ujinga wake kwa mgogo wa vyeo alivyowahi kushika basi there is something wrong upstairs.

Kuwaambia wasomi waliokusanyika pale chuo kikuu kuwa hawaelewi na hawakuulelewa muswada wa marekebisho ya katiba huyu ndugu ana walakini mkubwa katika kufikiri na kuelewa nini matakwa ya umma.
 
kwani shivj ni mungu mpaka yeye asikosee? ivi unataka kuniambia walimu wako wote kila wanalolizungumza wanakuwa wako sahihi? lamsingi unatakiwa kumsikiliza kamkosoa nini na shivj anasemaje.jamani hata huyo werema siyo kila kitu kwamba anakosea.

Taaluma ya sheria ya Werema imemezwa na siasa. Alishindwa hata mtihani wa uwakili mwaka 2005 kabla hajaukwaa ujaji, hawezi kumkaribia Prof. Shivji hata kidogo. Shivji jembe kwenye taaluma ya Sheria.
 
Hebu tazama wale waliokuwa na cheo kama hicho cha Werema leo wapo chama gani kisha utajua chama chake
 
Werema alikwishawahi kujaribu kuwania ubunge zama zile 1995 kwa tiketi ya chama hicho hicho ambacho kimempa madaraka aliyonayo sasa. Akiwa AG na mshauri mkuu wa sheria wa Serikali, kikatiba yy ni mbunge mteule wa Rais aliyepo madarakani . Hawezi kukana gamba na ndio maana yupo msitari wa mbele kutetea wabunge wa CCM ambao ushindi wao unapingwa Mahakamani.
 
Ni wa CCM!! Hawezi kupata cheo alichonacho halafu awe chama kingine. Ile ni nafasi nyeti sana!!!
 
Tujadilini hoja ya werema kutetea muswada taahira kama huu wa mchakato wa katiba, werema akizungumza ktk kipindi cha DK 45 usiku cha itv alisema wasomi hawajui kiingereza ndo maana hawauelewi muswada...

nadhan tukijadili haya hapa juu tutakuwa tunafanya la maana kuliko kujadili uanachama wake maana haitatusahdia na ukweli tunaujua
 
Hebu tazama wale waliokuwa na cheo kama hicho cha Werema leo wapo chama gani kisha utajua chama chake
Wote magamba

Nae ni gamba tu hana lolote,anatapa tapa tu.
Kwa hiyo anatuadaa watanzania?

Werema alikwishawahi kujaribu kuwania ubunge zama zile 1995 kwa tiketi ya chama hicho hicho ambacho kimempa madaraka aliyonayo sasa. Akiwa AG na mshauri mkuu wa sheria wa Serikali, kikatiba yy ni mbunge mteule wa Rais aliyepo madarakani . Hawezi kukana gamba na ndio maana yupo msitari wa mbele kutetea wabunge wa CCM ambao ushindi wao unapingwa Mahakamani.
Anadhani watanzania hatukumbuki historia??kwanini anajisikia sana mkurya yule na majigambo kasoma DC??eti yeye ndiye aliwafundisha wamarekani demokrasia ya nyumaba kumikumi!!!!Jamani hawa watu wamagamba!

Ni wa CCM!! Hawezi kupata cheo alichonacho halafu awe chama kingine. Ile ni nafasi nyeti sana!!!
Maana wakimpa mpinzani hakawii kuwageuka kwa utumbo wanaoufanya!
 
Wandugu wapendwa Hongereni na Pasaka +Muungano unao chechemea yote heri!
Mimi nimekuwa nikifuatilia kauli ya Mwanasheria Mkuu Jaji werema kwa kusema yeye siyo mwanachama wa CCM je yeye ni mwanachama wa chama gani??Mnaojua zaidi mtwambie!!
Naomba kuwakilisha!:A S 465:

Mimi huwa nina kanuni moja tu. Nikikuta ofisi imeweka bango kuwa nimeingia kwenye ukanda usiokuwa na rushwa "corruption fee zone" huwa najua kuwa nimeingia kwenye ukanda wa rushwa.

Nadhani kanuni hiyohiyo inaweza kutumika kwa huyu anayedai kuwa siyo mwanachama wa Chama Chenye Magamba.

Hana haja ya kupiga kelele kuwa siyo mwanachama kwani tutamtambua kwa vitendo na siyo maneno.
 
Sioni sasa ya kudiscuss uanachama wa Werema hapa, wekeni hoja za msingi. Kama ni mwanachama wa nccr mageuzi so what?
Tujadilini hoja mfano hoja ya werema kutetea muswada taahira kama huu wa mchakato wa katiba, werema akizungumza ktk kipindi cha DK 45 usiku cha itv alisema wasomi hawajui kiingereza ndo maana hawauelewi muswada... Na anatamani kukutana na Prof. Shivji ili abishane nae maana nae kafundishwa kubisha!!
Ivi kuna chuo gani nchini au oversea kinachofundisha kubisha?

Ukitafakari kwa kina utaona kuwa kuna uhusiano kati ya msimamo wake juu ya katiba na uanachama wake kwa chama magamba. Kimsingi msimamo anaoutetea ndio wa chama magamba.
 
Yeye ni mmoja wa magamba ya chama tawala, mjinga anaye dhani kuwa katika nchi hii yeye tu ndo anaelewa kiingereza. Ndo maana tuna andikiwa mikataba ya kupata mrabaha wa 3% kwenye madini ambapo hata mwanakijiji wa std 7 anashangaa!
 
Back
Top Bottom