Ni Kombani, Werema (Star tv) & Wassira, Nape (TBC)

werema alikuwa jaji wa mahakama ya biashara .... pale kuna law of contracts na torts nyingi tuu

above all ...lazima huyu ni chief Cook wa taratibu za kunufaisha uzalimu na unyang'anyi
 
Na ni wazanzibari ndio hawautaki muungano, mbona naona Bara ndo inapata hasara!
 
walema akijiuzulu huyo mwingine atateuliwa na nani? niyaleyale walema si kwamba hajuwi wajibu wake anayafanya hayo kwa matakwa ya mutu&kindi fulani kuyafuta yote haya ni katiba mpya tuu tukomae juu ya katiba

Ni kweli Werema anatumika kwa maslahi ya aliyemteua badala ya kutumia weledi katika kazi zake kikatiba ila pia ni kilaza, na nina imani pia hata huo ujaji alipewa kwa kujipendekeza sio competence na qualifications zake! Mwanasheria mkuu gani ambaye anageuka kuwa msemaji wa CCM? Nadhani kuna haja ya watu wa aina ya Werema kushikiwa bango na nguvu ya umma tu na si vinginevyo!!!!!
 
Ni kweli Werema anatumika kwa maslahi ya aliyemteua badala ya kutumia weledi katika kazi zake kikatiba ila pia ni kilaza, na nina imani pia hata huo ujaji alipewa kwa kujipendekeza sio competence na qualifications zake! Mwanasheria mkuu gani ambaye anageuka kuwa msemaji wa CCM? Nadhani kuna haja ya watu wa aina ya Werema kushikiwa bango na nguvu ya umma tu na si vinginevyo!!!!!

Unanikumbusha kipindi cha kampeni za uchaguzi mwaka jana alivyoshikilia bango la kukampenia CCM wakati yeye kadiri ya taaluma na kazi yake haruhusiwi kuwa vuvuzela la chama cho chote ila kulinda katiba na sheria nyingine za nchi.
 
tabia/hulka za kikurya,.. yes yes kila kitu anachoambiwa na aliye juu yake .. hii mijamaa (mikurya) inafaa jeshini tu
 
tabia/hulka za kikurya,.. yes yes kila kitu anachoambiwa na aliye juu yake .. hii mijamaa (mikurya) inafaa jeshini tu

Hata akimtuma kwenda kumfukuza simba kwa kutumia kitambaa kama anafukuza kumbikumbu atafanya tu huyu jamaa, yaani hata hatumii akili na elimu yake. Huu ni utumwa wa utwa na utwana.
 
Tujaribu kujitenga tuone upande upi utaonja joto ya jiwe. Mawazo ya visiwa ni kutegemea misaada toka nchi za kiarabu kwani kitu cha kwanza kufanya baada ya kujitenga ni kujiunga na IOC. Naona wameziba masikio kwani nchi za arabuni hakukaliki tena. Nawashauri turekebishe kasoro za muungano tuishi kama kawaida. Kama mkiwa wabishi hata Pemba nao mtawakosa, tumieni busara kwa faida ya vizazi vijavyo
 
Hawa ni wakuteketeza failia yote kwani wameshawapandiza mpk watoto wao wananchi tuamue sio wa kuwaacha hawa wewe angalia hata bungeni walichofanya ccm ni kupitisha kila hoja na kuzima ya tundu lisu hawa watu ni
hatari jamani
 
Naomba nikurekebishe kidogo kuhusu hio 4.5%, hio pesa sio msaada kutoka sirikali ya muungano, bali hio pesa inaitwa GBS (GENERAL BUDGET SUPPORT) Kutoka nchi mbali mbali zinazochangia kwenye Budget ya Tanzania na kwa vile Tanzania kuna sirikali mbili ndio mgao unaanza hapo.
 
huu uoza uanwezekana kuondoka kwa 1 kati ya mambo haya 2.....aidha kuwa na shirikisho (serikali 3) kwani kila mtu atajua jambo lake na mambo ya muungano yatajulikana wazi, au kila mtu kuchukua mbao yake na kuwenda kivyake ....kwani kwa mfumo huu hata yakirekebishwa hayo yatazuka mengine na kila siku itakuwa mashaka hayaishi... tutizameni Denmark na visiwa vya Faroe island / Greenland ambapo yanajiamulia mambo yao wakati kule denmark wanakubali schengeni lakini visiwa hivi havikulai kabisa....
 
Werema and a few others are lackeys of JK. They are not accountable to the nation. In the new constitution, the post of AG should be held by a real man or woman who is vetted by the National Assembly.

In the meantime, we have to be on our guard against the Weremas and Kombanis of this world. They are, to put it mildly, inimical to our very survival.
 
MKUU BORAYA CHENGE ALIKUA ANAJILIPA SASA HUYO KWA NINI ANATETEA UTUMBO,
harafu majaji wamekaa kimya tu mwenzao anadhalilisha taaluma yao
Mwanzoni nilifikiri mtu akipewa cheo cha "Urais, Uwaziri, Mwanasheria Mkuu, Jaji, IJP, Mwendesha Mashtaka, na cheo chochote Serikalini au kwenye taasisi za kidini" nilikuwa naamini kuwa mtu huyo anafanya ile kazi kwa mujibu wa haki kwa kutumia elimu yake kwa manufaa ya Taifa.

Kumbe nilikuwa najidanganya tu, vyeo hivyo vinaweza kushikwa na mtu yeyote wakimo, "wezi, majambazi, vyangudoa, mafisadi, walafi wa mali ya umma, wauaji, wenye visasi, wanafiki, waongo, vibaka, madalali, wachawi, na wengine wenye sifa kama hizo" Nimejionea kwa hakika ndani ya Serikali yetu na zingine za kiafrika!

Sina imani nao kabisa watu wanao onyesha waziwazi sifa hizi kama Werema afanyavyo. Hafai kabisa, simtofautishi na Chenge!
 
... mbona hamnielewi????????????

Huyu bwana hata katika mahakama ya ngazi ya Wilaya kama ya Bunda Bunda huko wala hafai kitu huyu.

Werema kweli kabahatika kupata ofisi katika Jamhuri yetu hii ya Muungano wa Tanzania lakini ni bahati mbaya mno kwamba ofisi ya Mwanasheria Mkuu yenyewe haijabahatika mtu tangu Jaji aliyetukuka Mzee Joseph Sinde Warioba afunge mlango ule kwa nje huko enzi za Mwalimu Nyerere.

Kwa kifupi, mimi AG wangu wa ukweli yuko kule Zanzibar na anaitwa Mhemiwa wa ukweli Jaji Makungu.
 
Ndugu zanguni mkitaka haya yote yasiendelee inabidi tupaze zautu zetu punde tu watenapo maovu.
Vile vile tujipange vizuri 2015 tuwangoe hawa jamaa wa ccm wa ndio mzee kwani ndio wanaotumaliza na kufanya hali iwe hapo ilipo.
 
Mimi namwagia sifa saaaana mnyampaa Tundu lisu kwa kumdhalilisha mbele ya Waziri mkuu na spika wa bunge,na pia wanachoonyesha bungeni wabunge wa CCM ni ushabiki tu,mh Lisu endelea kuitoboatoabo miswada ya kishenzi inayopelekwa bungeni na waziri kombani na werema wasiwe wavivu kusoma pengine lugha ya kiingereza imekuwa fumbo kwao.Lisu na hao madiwani wa singida wafundishe kazi wasitangulize tumbo mbele maendeo nyuma!Swala hilo lipeleke bungeni moja kwa moja kombani na werema hawatatetea haki za wanasingida
 
Jana nilimsikiliza Werema ITV, nimejiridhisha, he is arrogant na mbaya zaidi ni psychopath.
I was so disappointed, amemkosea adhabu shivji, mwalimu wake.amenichefua sana.
 
Back
Top Bottom