Ni kituko kwamba Rais Biden hataki kuulizwa maswali. Je, hawezi kujibu kama Marais waliopita?

Ni Kiongozi mzalendo sana kwa watu na Nchi Yake

Trump ni mzalendo kwa wale wanaoamini uongo wake ; huyu ni mtu mbaya sana kwa maendeleo ya nchi yao kwani ni mbaguzi wa rangi anae shabikia kuwa watu wa rangi nyeupe ndio wana haki zaidi kuliko wengine hapo kwao ili hali nchi yao ni ya Watu wa kuja[ immigrants]. Trump tofauti na waliomtangulia ulikuwa na urafiki zaidi na madikteta wa duniani na yeye alikuwa anataka kuipeleka marekani kwenye utawala wa namna hiyo; ndio maana anatumia uongo kuwarubuni wamarekani wasiokuwa na elimu kuwa yeye ndiye mwokozi wa Taifa lao linalotaka kuchukuliwa na raia wasio kuwa na rangi nyeupe.!!
 
Wewe kichwa upepo acha uongo basi, Unapewa kinyesi na cnn na wewe unakila hivo hivo, kwa taarifs yako tu huyu biden ni mbaguzi sana na kuna matukio zaidi ya sita ila anafanya kama mchezo anapewa media coverage ya msamaha.

Uchumi umeanza kushuka saizi biden kaanza visingizio wakat kiukweli kazi hawezi, hana uwezo hata wa kutunza kumbukumbu
 
..Joe Biden hajafanya Press Conf baada ya kuapishwa.

..baada ya kushinda alifanya Press Conf ambayo ni hiyo hapo chini.

cc sky soldier , BAK
 
Trump ni mzalendo kwa wale wanaoamini uongo wake ; huyu ni mtu mbaya sana kwa maendeleo ya nchi yao kwani ni mbaguzi wa rangi anae shabikia kuwa watu wa rangi nyeupe ndio wana haki zaidi kuliko wengine hapo kwao ili hali nchi yao ni ya Watu wa kuja[ immigrants]. Trump tofauti na waliomtangulia ulikuwa na urafiki zaidi na madikteta wa duniani na yeye alikuwa anataka kuipeleka marekani kwenye utawala wa namna hiyo; ndio maana anatumia uongo kuwarubuni wamarekani wasiokuwa na elimu kuwa yeye ndiye mwokozi wa Taifa lao linalotaka kuchukuliwa na raia wasio kuwa na rangi nyeupe.!!
Jitahidi kusoma vitabu na machapisho yaliyoandikwa na watu wa pande zote mbili, wanaompinga na wanaomkubali, soma Malengo ya kuanzishwa kwa vyama vyote viwili, soma historia ya Trump na Biden nani aliwasaidia Watu bila kubagua. Bideni yuko serikalini kwa miaka zaidi ya 49 amefanya nini kusaidia Nchi, Trump ameingia madarani kwa Mwaka 4 tu amefanya nini kwa maslahi ya Nchi Yake, je Bideni ana karibia mwezi sasa amefanya nini kuisadia Nchi Yake, je biden kwa chini ya mwezi mmoja Nchi imepoteza uchumi kwa kiasi gani? Medias ni Biashara usiamini 100% wanachokisema, kwani wakishalipwa wanafanya kile walichoambiwa. US iko kwenye wakati mgumu sana na kwa uongozi walionao inaweza ikapoteza nguvu zake za kiuchumi Zaidi ya Europe, na Dunia itakua kama enzi za Hitler na huenda vita vya tatu vikatokea.
 
Wewe kichwa upepo acha uongo basi, Unapewa kinyesi na cnn na wewe unakila hivo hivo, kwa taarifs yako tu huyu biden ni mbaguzi sana na kuna matukio zaidi ya sita ila anafanya kama mchezo anapewa media coverage ya msamaha.

Uchumi umeanza kushuka saizi biden kaanza visingizio wakat kiukweli kazi hawezi, hana uwezo hata wa kutunza kumbukumbu
Inafikirisha sana kuona watu wanangalia CNN na kuamini wanachosema ni ukweli, CNN imenunuliwa na akina Biden, hivyo ni lazima wamseme vibaya Trump. Trump atabaki kuwa Kiongozi bora sana kuongoza USA, Misingi ya Chama chake sio ya ubaguzi, kilianzishwa kwa ajili ya Kupinga utumwa, Biden ana Miaka zaidi ya 49 serikalini, ametunga sheria za kuwabagua watu weusi na kuwafunga kwa Miaka mingi gerezani, na kuwaita super predators. Trump alifanya vizuri kwenye uchumi, aliwafanya viongozi wa Nchi zingine wajitegemee, na sio kuilalia USA kibiashara na michango. huyu ameingia hata mwezi hana uchumi umeshuka, watu wamepoteza kazi, Nchi imerudi kuagiza Mafuta na gesi, Mandela alipoenda USA Trump alimpa Ndege Yake binafsi na wakati huo alikua ni mfanya biashara tu na sio Kiongozi. Tutumie akili zetu kufikiri, na sio kushabikia tusiyoyajua kwa sababu tu watu Wengi wanashabikia.
 
Mzee Biden amekuwa maarufu kwa hii tabia yake mpya ya kuchomoka nduki akimaliza hotuba, Hataki kuulizwa maswali kabisa.

Akimaliza kusoma hotuba yake kwenye telepromter, huwa anaondoka bila kupokea maswali, huenda hii ni kwa sababu majibu ya maswali hayahitaji teleprompter bali kichwa.

Kama Raisi anashindwa kujibu maswali ni wazi kabisa hata kile anachokifanya kinamweka wazi kwamba ni puppet tu.

Ni juzi tu hapo kumekuwa na kashfa ya wafanyakazi wa White House kuwaomba waandishi wa habari maswali wanayotaka kuuliza lakini walikataliwa, Je Biden hawezi kufikiria kujibu maswali? Ni hadi aandikiwe majibu kwenye telepromter ndio njia pekee ya kujibu maswali?
Looooh wewe unamuona leo baada ya kuwa Rais!? Hukuwahi kumuona alipokuwa Makamu Rais wakati ule? Hukuwahi kuona na kuuuona uwezo wake wa kujibu maswali na kupangua hoja za hovyo hovyo wakati ule? Rais Biden ana uwezo mkubwa sana labda hata zaidi ya DJ!
 
Inafikirisha sana kuona watu wanangalia CNN na kuamini wanachosema ni ukweli, CNN imenunuliwa na akina Biden, hivyo ni lazima wamseme vibaya Trump. Trump atabaki kuwa Kiongozi bora sana kuongoza USA, Misingi ya Chama chake sio ya ubaguzi, kilianzishwa kwa ajili ya Kupinga utumwa, Biden ana Miaka zaidi ya 49 serikalini, ametunga sheria za kuwabagua watu weusi na kuwafunga kwa Miaka mingi gerezani, na kuwaita super predators. Trump alifanya vizuri kwenye uchumi, aliwafanya viongozi wa Nchi zingine wajitegemee, na sio kuilalia USA kibiashara na michango. huyu ameingia hata mwezi hana uchumi umeshuka, watu wamepoteza kazi, Nchi imerudi kuagiza Mafuta na gesi, Mandela alipoenda USA Trump alimpa Ndege Yake binafsi na wakati huo alikua ni mfanya biashara tu na sio Kiongozi. Tutumie akili zetu kufikiri, na sio kushabikia tusiyoyajua kwa sababu tu watu Wengi wanashabikia.
benye Kiukweli Google nao wanamlinda sana huyu raisi koko, yani ukisechi sifa zake mbaya lazima matokeo yawe Fact check, Did Joe biden say...., What joe Biden meant by saying na Biden apologizes for his words.

Cheki hapa ni mwendo wa fact checks zinazolazimisha uongo umsafishe huyu raisi

1613043964424.png
 
Ni kweli ila Hawa wote wameshafika bei, Dunia imeshatekwa imo kwenye kikundi cha wahuni, hakuna mwelekeo mzuri tuendako.
 
Back
Top Bottom