Ni kitu gani kinachowafanya baadhi ya wadada kuwachukia wanaume bila sababu?

IT HAPPENS TO ME TOO...I SEE NOTHING INTERESTING FROM A MAN..YANI NAJILAZIMISHA TU KUWA NA BOYFRIEND..NAJITAHIDI KUWA NA HISIA LAKINI HAIJI KAMA WENGINE..
ALL THIS NEGUNDUA SABABU YA KUKOSA MALEZI YA BABA MZAZI..ALINIKIMBIA TANGU NIKO KICHANGA TUMBONI..IAL SURE LABISA ALINIKATAA CZ MY MOM HAKUWAH KABISA KUMUONGELEA..MAMA ALINIZAA AKIWA NATA NAE HANA UHAKIKA WA KULA..AKARUDI KUNIACHA KIJIJINI KWA BIBI NA KWENDA MIKOANI KUHUSTLE ILI JAOO NIPATE VYA MUHIMU..BI BI NAE MAISHA YAKE SHAMBA TU..AKIAMKA ASUBUHI KWENDA KUPALILIA MIHOGO ANARUDI NA MAPANDE MAWILI YA MIHOGO NA MBGA ZA MAJANI AWASHE KUNI AVICHEMSHE NDO MLO WAKE..MI SIJUI ALIKUA AKIKOSA MAZIWA NANYWESHWA UJI USIO NA SUKARI AU ANAKOROGEA CHUMVI AARGH!
HADI SISTER ANGU NAE ALIKATALIWA..
TUMEPITIA DHIKI MAMA ANAKOPA HADI KITUNGUU BUT WE SURVIVED BUT MAMA KATUACHA MAPEMA NUT ATLEAST TULIKUAKUA KUKABILI VISA VYA NDUGU..KUISHI KWENYE NYUMBA YA WATU NI KAZI.BUT TULIVUMILIA .NOW TU MABINTI WAKUBWA.ASHUKURIWE MUNGU..
UKWELI SINA AFFECTION NA WANAUME...MAYBE SIKU ITAKUJA.
Pole sana Mkuu, lkn hiyo hali yakutopenda sana itakusaidia, kumiminika sana kwa mwanaume akajua umekufa umeoza wkt ww ni mzima nayo ni shida dear. Mungu akupe wakkupenda maisha yako yote. Pole sana
 
Usibebe vitu rohoni...unapoteza mda sn..trust me ..just go on
 
Wengine inatokana familia walizotoka pengine baba yake alimtesa mama yake/wote kiujumla
 
katika pitapita zangu nikiwa katika bar flani hivi nilimsikia mdada mmoja akizungumza na mwenzie

katika mazungumzo yule mdada alikuwa akimuelezea kuwa kuwa anawachukia sana wanaume"

Basi yule mwenzie alipomuuliza kwa sababu gani" yeye alimjibu basi tuu yeye hapendi wanaume bila sababu yoyote""

Leo hii ikanibidi niulize humu jf hivi inakuwaje mdada anatokea kuwachukia wanaume bila sababu yaani kila akiwaona huwa anasikia tuu ana hasira, hasira,
Hapo huyo alikuwa na sababu ndo maana alijibu basi tu
 
IT HAPPENS TO ME TOO...I SEE NOTHING INTERESTING FROM A MAN..YANI NAJILAZIMISHA TU KUWA NA BOYFRIEND..NAJITAHIDI KUWA NA HISIA LAKINI HAIJI KAMA WENGINE..
ALL THIS NEGUNDUA SABABU YA KUKOSA MALEZI YA BABA MZAZI..ALINIKIMBIA TANGU NIKO KICHANGA TUMBONI..IAL SURE LABISA ALINIKATAA CZ MY MOM HAKUWAH KABISA KUMUONGELEA..MAMA ALINIZAA AKIWA NATA NAE HANA UHAKIKA WA KULA..AKARUDI KUNIACHA KIJIJINI KWA BIBI NA KWENDA MIKOANI KUHUSTLE ILI JAOO NIPATE VYA MUHIMU..BI BI NAE MAISHA YAKE SHAMBA TU..AKIAMKA ASUBUHI KWENDA KUPALILIA MIHOGO ANARUDI NA MAPANDE MAWILI YA MIHOGO NA MBGA ZA MAJANI AWASHE KUNI AVICHEMSHE NDO MLO WAKE..MI SIJUI ALIKUA AKIKOSA MAZIWA NANYWESHWA UJI USIO NA SUKARI AU ANAKOROGEA CHUMVI AARGH!
HADI SISTER ANGU NAE ALIKATALIWA..
TUMEPITIA DHIKI MAMA ANAKOPA HADI KITUNGUU BUT WE SURVIVED BUT MAMA KATUACHA MAPEMA NUT ATLEAST TULIKUAKUA KUKABILI VISA VYA NDUGU..KUISHI KWENYE NYUMBA YA WATU NI KAZI.BUT TULIVUMILIA .NOW TU MABINTI WAKUBWA.ASHUKURIWE MUNGU..
UKWELI SINA AFFECTION NA WANAUME...MAYBE SIKU ITAKUJA.
aseeeeeehhhh.... pole sana
 
Aisee pole sana
 
ndo hvo mkuu wanatuchukia sana na majina ya ajabu ajabu
Ndio maaana mimi nilisema umri unakuta umeshaenda sana na ameshidwa kutimiza malengo

Mwisho wa siku anaishi na stress hata akipata mwanaume atataka yule wa kumuhonga ili aweze kutimiza malengo yake aliyoshidwa kuyatimiza muda mrefu soo akimkosa mwanaume wa mahitaji yake anajikuta anaanza kuchukia wanaume
 
Kama yeye ndo mhusika na amekosa sababu mimi niko kolomije nitajuaje?
Msiwe mnatupa home work za hivi bhanaa
 
Usibebe vitu rohoni...unapoteza mda sn..trust me ..just go on
huojui connection ya mzazi wa damu na mtoto wewe??NAJITAHIDI BUT NASHINDWA..NIMESAMEHE BUT NLOPITIA NI MENGI NA NI SEHEMU YA MAISHA YANGU..NASHINDWA KUSAHAU..
HATA NKIAMUA KUSAHAU BASI LABDA GAZETI HALAFU NKQKUTANA NA HABARI YA MKOA NLOZALIWA KUMBUKUMBU ZOTE ZINARUDI...
NKIKABWA NJAA N THERE IS NO FOOD NAKUMBUKA HIBI YANGU..ANACHOTA UNGA ANAPIKA UGALI ..MI KWA AKILI YA KITOTO NASHANGAA MBOGA HAIPO..NAONA UGALI NA KISAHANI CHENYE CHUMVI..AKAWA ANANIFUNDISHA KULA UGALI HUKU UNALAMBA CHUMVI. .NKITOKA HAPO NIMESHIBA NASHUSHIA MAJI TUNASUBIRI USIKU.
 
Pole sana Mkuu, lkn hiyo hali yakutopenda sana itakusaidia, kumiminika sana kwa mwanaume akajua umekufa umeoza wkt ww ni mzima nayo ni shida dear. Mungu akupe wakkupenda maisha yako yote. Pole sana
Kwa akili yake hawezi kupata mwanaume atakayemkubali!
 
Sababu kubwa ni tunawapa LOVE, then wanatupea HEART.
Sasa.......
Inapo tokea tukaivunja mioyo yao, ndipo dhanya ya KUCHUKIWA WANAUME inapo anzia
 
Duu mkuu kama kuna kaukweli flani hivii
Mwanamke anajua kabsa uwezo wako kwa sasa kumpangia nyumba sinza huna ila unaweza mpangia tabata,,anaanza kukuchukia tu na kashfa juu eti mwanaume gan unashindwa kunipangia chumba sinza,,so kubwa ni kutaman ambavyo muhusika hana uwezo navyo na wanapokosa wanapayuka mbaya kabsa
 
Back
Top Bottom