Ni kitu gani kinachowafanya baadhi ya wadada kuwachukia wanaume bila sababu?

IT HAPPENS TO ME TOO...I SEE NOTHING INTERESTING FROM A MAN..YANI NAJILAZIMISHA TU KUWA NA BOYFRIEND..NAJITAHIDI KUWA NA HISIA LAKINI HAIJI KAMA WENGINE..
ALL THIS NEGUNDUA SABABU YA KUKOSA MALEZI YA BABA MZAZI..ALINIKIMBIA TANGU NIKO KICHANGA TUMBONI..IAL SURE LABISA ALINIKATAA CZ MY MOM HAKUWAH KABISA KUMUONGELEA..MAMA ALINIZAA AKIWA NATA NAE HANA UHAKIKA WA KULA..AKARUDI KUNIACHA KIJIJINI KWA BIBI NA KWENDA MIKOANI KUHUSTLE ILI JAOO NIPATE VYA MUHIMU..BI BI NAE MAISHA YAKE SHAMBA TU..AKIAMKA ASUBUHI KWENDA KUPALILIA MIHOGO ANARUDI NA MAPANDE MAWILI YA MIHOGO NA MBGA ZA MAJANI AWASHE KUNI AVICHEMSHE NDO MLO WAKE..MI SIJUI ALIKUA AKIKOSA MAZIWA NANYWESHWA UJI USIO NA SUKARI AU ANAKOROGEA CHUMVI AARGH!
HADI SISTER ANGU NAE ALIKATALIWA..
TUMEPITIA DHIKI MAMA ANAKOPA HADI KITUNGUU BUT WE SURVIVED BUT MAMA KATUACHA MAPEMA NUT ATLEAST TULIKUAKUA KUKABILI VISA VYA NDUGU..KUISHI KWENYE NYUMBA YA WATU NI KAZI.BUT TULIVUMILIA .NOW TU MABINTI WAKUBWA.ASHUKURIWE MUNGU..
UKWELI SINA AFFECTION NA WANAUME...MAYBE SIKU ITAKUJA.
Pole kwa yaliyowapata.Hata hivyo sikubaliani nawe kwa hukumu unayompatia baba yako na kuipeleka kwa wanaume wote!Je unajua kuwa mama yako anaweza kuwa ndiye mwenye mapungufu?
Mimi nina kisa cha kusikitisha ambacho pengine nikusimulie kifupi sana.
Nilikutana na mdada akiwa mgonjwa,hana msaada,hana hela.Nilijitolea kumpatia dawa na hela ya kula.Nilimuonea huruma kwa kuwa hakuna mwanaume aliyevutiwa naye wakidhani ana ngoma.
Bahati nzuri alipona nilijikuta nimeanza mahusiano naye.Alifanikiwa kupata mtoto.
Tulitofautiana sana baadae.Alinisimanga kuwa mimi ni mzee,nina kibamia,na hivyo so saizi yake.Alinisema maneno mengi sana mazito.Nilikubali kumpa Uhuru asilimia 100.Alishindwa kutunza mototo japo nilikuwa namtumia pesa kila mwezi na inapotokea dharura.Nilimwomba akae nami kwa ajili tu ya kumlea mtoto.Hata hivyo ilishindikana kwani alinifanyia vitimbi hadi nilitamani kumuua.Niliachana naye na naendelea kumtumia pesa ya matumizi.Lakini anasema hataki nimuone mtoto,na hana mpango wa kumwambia mtoto baba yake.
Mimi najiuliza hivi anataka nini?Siwezi kuacha kumtumia kwani anafurahia kumwona mtoto anateseka!Ili apate sababu huruma kwa watu,na sababu ya kumwambia mtoto baba yako hakupendi.Ila nampenda sana mwanangu na sipendi aishi hivyo.Huwa inafika natoa machozi peke yangu.Najiuliza je, ni kweli Mungu amekubali mtoto wangu ateseke tu eti kwa sababu mimi baba yake nina kibamia!Natamani nimuone,nimtunze,mama yake anafanya kila awezalo nisimuone!
 
asante kwa kisa chako mkuu..but mi hawakukosana lolote..angalia vijana wanakutana katika mihangaiko wamapendana na kuwa na uhusiano..hlfu miaka ile hakukuwa na condm kama sasa.mwanamke anashika mimba thn unaikimbia..unatarajia nini?mateso ya kulea ulomwachia mwanamke si ataapa kwa uchungu mtoto wake hatomtambulisha wewe kama baba?
unadhan kumwambia mtoto mdg kama wa miaka kumi "babako alikukana na kukukataa " ni vizuri na nida sahihi?
mayb she was waiting labda nifike japo miaka 18 ndo nkimuuliza anijibu.but sadly aliondoka nkiwa na miaka kumi tu.
sikubaliani et mamangu almkosea.
my sister ni chotara copyryt na ya waarabu..halafu wakat wa mimba aliikana..alikataliwa na babake huyohuyo mwarabu.
 
Back
Top Bottom