FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
ZD kachungulia kapotea. Nyamayao, MJ1, nguli, triplets wote wanapita pembeni kama hawaoni! Wapwa kaizer, Sipo, G_Porgie, Burn nk leo utafikiri wameenda likizo. Bwashee leo kakamata watu sehemu za siri. LOL! Hahaha!
sasa mkeo huwa analala na jeans kama hataki?Kweli wanawake wana ako katabia sijui wanaona soniiii,sasa aibu yatoka wapi wakati ni mumeo.
Mi sijawai kuuchuna ila ipo siku ntauchuna nione kama nae atasema au kuamsha hisia za kutaka.
Ila nasikia kuna wengine akipanda na chupi maana hayuko tayari kama akipanda bila chupi manake anaitaji mchezo.
kweli leo ndio leo!...............
kweli leo ndio leo!...............
wanaogopa na kutafakari kitu gani...mwageni vitu hapa......
Kweli wanawake wana ako katabia sijui wanaona soniiii,sasa aibu yatoka wapi wakati ni mumeo.
Mi sijawai kuuchuna ila ipo siku ntauchuna nione kama nae atasema au kuamsha hisia za kutaka.
Ila nasikia kuna wengine akipanda na chupi maana hayuko tayari kama akipanda bila chupi manake anaitaji mchezo.
wamefurika!Currently Active Users Viewing This Thread: 20 (12 members and 8 guests) Bebeku, BornTown, carmel+, chimunguru, compressor, FirstLady1, George_Porjie, Kisusi Mohammed, Monicam,
Si unaona! Wamejaa tele hapa!
sasa mkeo huwa analala na jeans kama hataki?
Currently Active User Viewing This Thread: 1 (1 members and 0 guests)
George_Porjie
hata kama hataki jeans mbona kashinda kabisa!!!! mie vijinight dress hata sivai!!!! ahahahhahahha hata kama hakuna mechi!
wamefurika!
Anza wewe tupate pa kuanzia. Ebo! Au na wewe umekamatwa kunako kikojoleo?
mie nilimwaga habari kitambo...angalia page 1 sijui 2?
Tamu ya wanandoa kulala ni kulala bila kuvaa chochote. I mean meat to meat!
hewala!