NI KITU GANI HUWA KINAKUSHANGAZA(au pengine unaona ni cha pekee) kwa MWENZI WAKO?

red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png

Jamani i like this picture very much. Inanipa pressure
Hivi huyu ni nani?
Sorry kwa kwenda beyond off topic lakini you have to say what attract you
 
ni carmel huyu
Luv kesi yetu imekwisha eti eeeh? Maana kuna watu hapa wanakenua eti Sipo is longer with bht. Nani kawaambia, hapa mmenoa, mpaka lihamba hapa hakuna matengano. Na hili ndilo linalonishangaza kwa mpenzi wangu, anajua kusamehe pasipo kuweka kinyongo
 
nguli umemwona leo??
 
nguli umemwona leo??
Sijamwona hny. Kwanini unamuulizia, do you want me to collapse my dear? Wacha hii tabia ya kuulizia shemeji zako hovyo hovyo, utaniudhi. Sawa mumy?
 
sijamwona hny. Kwanini unamuulizia, do you want me to collapse my dear? Wacha hii tabia ya kuulizia shemeji zako hovyo hovyo, utaniudhi. Sawa mumy?

i did say my 'i do' to nguli xpin shahidi kesho muulize
 
Back
Top Bottom