Ni kitu gani hutakisahau ktk ulimwengu wa mapenzi?

JUMONG

Senior Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
107
Reaction score
59
Mimi sitasahau kisa hiki,

Wakati namtokea mdada mmoja ambaye baadaye alikuja kuwa mke mwema, Mwanzoni alinikubalia lakini baadae alisita sijui kwa kuhofia uongo wa vijana wa Chuoni maana nilikuwa mwaka wa pili University akanitosa na kumkubalia jamaa mmoja wa mtaani mwenye kazi yake kwa kutojua kwangu nikaendelea kukomaa kuimbisha mara akaniambia tayari ameishapata mchumba.Kwa kuwa nilijua hakuna mdada atakayekuambia hana mtu kwa mtazamo wangu nikaendelea kukomaa hatimaye mdada akakubali.Taharuki ilikuja mara baada ya mdada kumtosa jamaa na jamaa kupeleleza na kupata namba yangu basi vitisho vikaanza mara nitawaua wote kwa kutumia nguvu za giza, kiukweli jamaa alikua na mapepo kwa maelezo ya mdada.Hivyo ilibidi tupige maombi usiku na mchana kumuangamiza shetani na hatimae mambo yakawa shwari.

Je ni kitu gani ambacho hutakisahau ktk safari yako ya ulimwengu wa mapenzi?
 
sitasahau kuwa mke wa mtu ni sumu
 
Sitasahau kwa kweli..... Inanisikitisha sana, yaani ungejua kisanga kikoje ungefuta tu haya maandishi kwa kifutio cha penseli. Acha tu ninyamaze mwenyewe.
 
siku yangu ya kwanza kunjunji.
Nilimnjunji hausigel kuanzia saa mbili asubuhi non stop bila kuchenji stail hadi saa kumi na mbili jioni.
Demu akaumwa wiki nzima hawezi kutembea wala kuinuka
 
Acha tu ninyamaze maana inatia hasira sana ,ila nimemfundisha lesson mpaka anaingia kaburini i will click his head

Best Nivea inaonekana ka story kako ni katamu. Unaonaje ukikasema tu!
 
Last edited by a moderator:
sitasahau mchumba wang aliponidanganya kuwa hana mtoto kumbe aliolewa na akazaa na jamaa baadae wakaachana na kuwa na mimi.
 
Sitasahau mwanamke aliyetoa mimba yangu na kuniacha bila sababu, baada ya muda mfupi akafunga ndoa na jamaa mwingine. Maumivu niliyopata yalinipelekea hadi kufanya vibaya kwenye matokeo yangu ya semister ile.
Nimemsamehe na namuombea apate mtoto maana hadi sasa ni mwaka wa nne anatafuta mtoto.
 
mkono uliozoea kudokoa mboga jikoni hauwezi kuacha kamwe,kuuwa makini kaka!
 
kwa upande wangu mm sitasahau mchumba ambae nimetoka nae mbali kimaisha mpaka nikafanikiwa aliolewa pasipo kujua na mda wote mapenzi mpaka siku anaolewa ha2kuwai kugombana kabisa.Ladys ai cant belive them.

nakubaliana na wewe. Mimi nauguza jeraha la moyo nililochomwa jana, nimeishi binti huyu zaidi ya miaka 5 bila hat kuona ndita zangu huwa nakunjaje. Jana kanitamkia hanihitaji tena. Nazidi kumwombea ajue maana ya alichokifanya hata kama miaka mingapi mbele.
 
siku yangu ya kwanza kunjunji.
Nilimnjunji hausigel kuanzia saa mbili asubuhi non stop bila kuchenji stail hadi saa kumi na mbili jioni.
Demu akaumwa wiki nzima hawezi kutembea wala kuinuka

dah! Ulifungwa injini ya pawa tila au
 
Sitasahau mwanamke aliyetoa mimba yangu na kuniacha bila sababu, baada ya muda mfupi akafunga ndoa na jamaa mwingine. Maumivu niliyopata yalinipelekea hadi kufanya vibaya kwenye matokeo yangu ya semister ile.
Nimemsamehe na namuombea apate mtoto maana hadi sasa ni mwaka wa nne anatafuta mtoto.

malipo ni hapahapa duniani
 
I wont 4get kutendwa ppl waongo. Ktk mapenz kumjua mkweli kazi ipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom