Ni kipindi gani ulitamani dunia ipasuke uingie

Nilikaita kaje ghetto kaniage vizuri kesho nasafiri, Kakazingua. Nikaamua nimuite mwenzie, akakubali. Tupo ndani dak mbili nyingi cm inaita "njoo ulipe bodaboda nipo nje APA".
haahahahah aiseee
 
Ulipigwa hadi raha aiseee
Ila watoto wa zamani wamechezea sana mboko aisee, si nyumbani si shuleni utafikiri ng'ombe wakorofi pamoja na hayo heshima nidhamu, uaminifu, uadilifu na afya nazo zilikua zinaruhusu, watoto wa sasa wakifanyiwa hivyo patakua na murder cases kibao

Leo hii mlinzi amkamate mtoto wa watu shambani hata kama alikua anaiba mua mmoja wa kula then amfunge kamba halafu akae nae mpaka saa tatu ya usiku ndio amrudishe kwao! Waweza kisia mwenyewe nini kingempata huyo mlinzi kutoka kwa wazazi wa mtoto au hata jamii kwa ujumla
 
😂😂😂sema hivi possibility ya mtoto kufa pia ni kubwa..achana na wazaz watakavyoreact..zaman ilikua unachapwa na jiran hakuna mzaz anayeng'unika
 
Nilikaita kaje ghetto kaniage vizuri kesho nasafiri, Kakazingua. Nikaamua nimuite mwenzie, akakubali. Tupo ndani dak mbili nyingi cm inaita "njoo ulipe bodaboda nipo nje APA".

Ehee ikawaje?
 
Hii kama yangu kipindi nipo chuo
 
Za kitoto zote hizo
Siongei kwa kirefu ila kipindi kigumu nilichopitia ni kufumaniwa na mke wa mtu. Full stop, unaweza kunywa sumu ufe
Kuna siku niliingia kambi ya jeshi hospitalini na gari napiga honi hovyo kichwani niko castle lager kikaja kidogo kunionya braza hapa kuna wagonjwa kuwa mstaarabu nikakiambia hata mimi ni me leta mgonjwa so kuwa mpole kilivyo kikuda kikaenda kuita wenzake watano aisee niliambiwa kunja side mirrors halafu rudi kwa rivasi mpka barabara kuu na usitoe kichwa hapo ni usiku nilitamani ni fungua mlango nimwage vumbi ila ilishindikana
 
Kwa upande wangu nakumbuka ilikuwa 2003 kama sikosei niko primary. Siku moja jioni kwenye saa 12 jioni naenda zangu kuchota maji bombani karibu na mto, si nikaingiwa na tamaa ya kula muwa. Ikabidi nivamie shamba moja kuiba, aise kumbe mlinzi aliwepo akanikamata na kunifunga kamba.

Hapo niliwaza mzee alivokuwa mkatili anapiga nusu kuua kwakweli nilitamani dunia iishe. Nilipelekwa home mida ya saa 3 usiku nilipigwa sana na mzee sitasahau. Bado kesho yake nilichelewa kuwahi namba shule nikapigwa tena dah!

Vipi kwa upande wako inaweza kuwa mahusiano, pengine uliachwa au ulifumaniwa au uliiba kama mimi [emoji16][emoji16][emoji16].

Karibu ufunguke
Kuna siku nilivaa suluari nyeupe na shati whiteee tii (suti)
Ghafla nikaumwa na tumbo kwenye daladala,
Kama ujuavyo tumbo la kuhara, nilisikia km kaushuzi ile kuachia nikasikia km nimelowa.... sikutamani kufika kituoni kwa kweli hata konda akiita vituo nilikuwa nasikia maudhiii kabisa!

Nilimwambia my friend hebu hakikisha ninapoinuka wewe uwe nyuma yangu tite na mm km body gurd....

Nashukuru nilifanikiwa ile kushuka tu kwny daladala nikachukua bajaji huyooo home....
Ile suti sijawahi ivaa tena niliona km ndo ilikuwa na nuksi maana ilinifanya niombee dunia ipasuke nizame ndani yake bils kujua ntakutana na nini!!
 
Nilikaita kaje ghetto kaniage vizuri kesho nasafiri, Kakazingua. Nikaamua nimuite mwenzie, akakubali. Tupo ndani dak mbili nyingi cm inaita "njoo ulipe bodaboda nipo nje APA".
Sasa hapo si unabadili tu gia angani unamwambia nmetoka
 
Kwa upande wangu nakumbuka ilikuwa 2003 kama sikosei niko primary. Siku moja jioni kwenye saa 12 jioni naenda zangu kuchota maji bombani karibu na mto, si nikaingiwa na tamaa ya kula muwa. Ikabidi nivamie shamba moja kuiba, aise kumbe mlinzi aliwepo akanikamata na kunifunga kamba.

Hapo niliwaza mzee alivokuwa mkatili anapiga nusu kuua kwakweli nilitamani dunia iishe. Nilipelekwa home mida ya saa 3 usiku nilipigwa sana na mzee sitasahau. Bado kesho yake nilichelewa kuwahi namba shule nikapigwa tena dah!

Vipi kwa upande wako inaweza kuwa mahusiano, pengine uliachwa au ulifumaniwa au uliiba kama mimi [emoji16][emoji16][emoji16].

Karibu ufunguke
Nlishindwa kuchomoa supp ya carry na ikawa ndo mwisho wa kusoma icho chuo maana ukshndwa kuchomoa supp ya carry over ni disco.. Almanusra niwe kichaa..ila Mungu ni mwema alinipitisha kipnd kigum Sana..
 
Ni siku ambayo nilichelewa kuingia kwenye mtihani wakati niko Second year, ile nafika nakaa kwenye kiti ndo nakumbuka kuwa nimesahau kuchukua Calculator, tangazo la kwanza la msimamizi "Hutakiwi kuazima calculator kwa mwenzako". Nimekaa kiti cha mbele kabisa tena niko pekeangu maana nilichelewa. Wakati huo Course work ya somo na haieleweki.
Hiyo siku nilitamani dunia ipasuke asee.
 
Hii ni hatari, sasa what happened, uliwezaje kuchomoka kwenye hii ishu
 
Nilikaita kaje ghetto kaniage vizuri kesho nasafiri, Kakazingua. Nikaamua nimuite mwenzie, akakubali. Tupo ndani dak mbili nyingi cm inaita "njoo ulipe bodaboda nipo nje APA".
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom