acha ku focus na jux focus na machozi!.Mbona jux
Kwasababu wanajua ndoa ni LBL...Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Hivi ni kitu gani kunasababisha mmoja kati ya WANANDOA kulia machozi wakati wa HARUSI?
Maana jambo hili limekuwa likifanywa na WANANDOA wengi tu.
Mkuu sio "mamba ni mengi" andika "mamba ni wengi!".Hisia tuu, mwingine haamini km kaoa, mamba ni mengi,
Binafsi siwezi Lia wala kupiga goti
Ooh Asante sana mzee sijaona afu min -me husemi mdg wako nakosea bruh 😂Mkuu sio "mamba ni mengi" andika "mamba ni wengi!".
Mzee umeanza kuchanganyikiwa?🤣🤣🤣🤣🤣Niupumbavu tu kmmk....😶
Shalom kakaHisia tuu, mwingine haamini km kaoa, mamba ni mengi,
Binafsi siwezi Lia wala kupiga goti
Shalom babygirl 😂😍Shalom kaka
Ni hisia tu nakubali.. nilimsimamia mtu kitchen party.. wakati namsindikiza mtarajiwa meza ya Mama mzazi kupeleka keki, ule wimbo wa Mama wa Kayumba unapigwa. Machozi sijui yalitoka wapi? Yakaanza kunilenga 🤣🤣
Me nashangaaga tu Mwanaume akitoa chozi… ni kwamba alisumbuliwa sana kumpata huyo bi harusi au?
Shalom kaka

😅😅 Because they understand the trouble they are getting themselves intoHabari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Hivi ni kitu gani kunasababisha mmoja kati ya WANANDOA kulia machozi wakati wa HARUSI?
Maana jambo hili limekuwa likifanywa na WANANDOA wengi tu.
Habari zenu wakuu