Ni kipi cha kukumbukwa ulichomfanyia Mpenzio 2011? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kipi cha kukumbukwa ulichomfanyia Mpenzio 2011?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kigarama, Jan 1, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Muda mfupi ujao tunakwenda kuimaliza siku yetu ya Kwanza ya Mwaka 2012. Lakini tukiangalia nyuma kwenye mahusiano yetu kuna mambo ambayo tumewafanyia wapenzi wetu ambayo ni ya kukumbukwa kwa mwaka 2011. Hata kama umeachwa na mpenzio na ukakubali kuachika hilo nalo ni jambo kubwa sana la kukumbukwa kwani ulimrahisishia mwenzio njia yake ya kuanza maisha mapya.

  Ni jambo gani ambalo ukitazama nyuma mwaka 2011 unaliona ni la kukumbukwa hata kama jambo hilo liliacha jeraha kubwa moyoni mwako? Ni sehemu ya kufanya tathimini ya Mwaka jana na kutafakari yajayo kwenye mwaka huu.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Nilimnunulia nyumba masaki
  nikamnunulia Vog
  nimemkabidhi kampuni ndogo ya udafirishaji wa majini.

  Ni hayo tu.
   
 3. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uwongo njoo utamu kolea
  mimi nilijitahidi asijue nina kiasi gani bank
  kanda mbili na vivalo kapata
   
 4. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  We mkali Aisee!!
   
 5. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Unajua na yeye kuna vitu alikuficha usijue kwani muosha uoshwa!
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  uchoyo huo, kizuri kula na mpenzio
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nilimpiga!!
   
 8. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wee Lizzy wee! usitake watu waje humu waseme umempa Limbwata. Mwanaume kupigwa!!??
   
 9. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Hahahah....usinichekeshe mie!! Kesho nakuja.
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo unataka kuniambia hamna mwanamke anaeweza kumpika mwanaume ambae ni "limbwata free" ???
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hehehehe. . . unataka nikufundishe?
   
 12. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #12
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Tulibwagana
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  nimempa bahari ya hindi!
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  usidandie mbele
  hajasema alimpiga kwa kutumia kitu gani
  Makungwi wameelewa .....

   
 15. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakwangu anatoka mkoa ule unaopenda pesa.lakini sio mchoyo bali nyatu nyatu zaidi
   
 16. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwenye kanda mbili usemi kitu kwani nawe unatoka mkoa wa umeme nini?


   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We kama hupendi pesa acha kazi.
   
 18. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Anyway Lizzy inawezekana, lakini lazima utakuwa umeoa mwanamke Baunsa siyo kama hawa wetu wanaoshindia na kulalia chips mayai!!
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Jan 1, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Basi mi mmoja wao, wala ukiniona huwezi kuamini ila ndio hivyo natembeza kichapo kila inapohitajika.

  Alafu hao wachips mayai kumbe hua mnawanunulia kwa makusudi ehhh?
   
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mi nimempa mimba....hahahahaaaaaa na kupata mtoto teh
   
Loading...