Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Tukiwa bado tunaendelea na kushuhudia songombingo ndani ya lumumba leo tena msanii nguri Kipanya katuletea kikatuni kingine ambacho binafsi nimeshindwa kukielewa.
Naomba tafadhali mwenye uelewa atusaidie kutwambia alikusudia kuwakilisha ujumbe gani haswa!
Naomba tafadhali mwenye uelewa atusaidie kutwambia alikusudia kuwakilisha ujumbe gani haswa!