Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,131
AshaDii na Azimio Jipya,
Wakuu zangu lazima mfahamu kwamba lugha mnayotumia hapa ni ya kisonmi sana na lazima mtu akafanye homework yake ili vitu vijae kichwani.. Moja kubwa ambalo nimeliona mkizungumzia ni mchanganyiko wa rangi mbili za Njano na Blue kwa ufasaha ambao msomaji lazima afahamu viwango na nini matokeo ya mchanganyiko huo..
Sasa kwa wengine wasiojua mnachozungumza, wao huona mbele yao rangi ya Kijani! na wakashangaa sana kwa nini inazungumzia mchangayiko wa rangi za njano na Blue hali kinachoonekana kwoa ni rangi ya Kijani...Kwa maana hii Wadanganyika wengi hawafahamu matokeo ya kuchanganya rangi hizo wala kwa kiwango gani hivyo hukurupuka na kuanza kupinga kwa sababu maishani mwao hawajawahi kuona rangi hizi mbili zikichanganywa na nini kitatokeo kama rangi hizi zitachanganywa..
Na ndio maana hata mimi hujaribu sana kuendelea kutetea hoja na mtazamo wangu pamoja na kwamba nafahamu fika kwamba wengi ya watu wasionielewa ni pamoja na wale ambao hawajui mchanganyiko wa rangi isipokuwa rangi (readymade) wanayoiona machoni mwao..
- PATAMU HAPO
Mkandara;
Nimejikuta na cheka sana! Kwa kweli hiyo analogy ya mfano wa rangi imenichukua muda hadi kuja kujua nini maana yake. Imenikumbusha wale wazee wetu wa zamani ..waliokuwa makini, waangalifu na wenye busara sana kwenye kujenga hoja na kupeleka ujumbe ...I wish I could Be that good!! ... Hawa Viongozi wetu wa sasa..they dont have this patient and wisdom ..nafikiri ndio maana tumefikia hata kwenye mijadala hii ya kutafuta misingi sahihi ya Ujenzi mpya wa Taifa letu!!
Back to the thread .... Mkuu umesema It could be wise if we use (readymade) ...Haha hah..! Nafikiri nimsubiri Asha Dii nione yeye atachagua Buluu au Manjano.. (Lol) ...alafu hii manjano nimeisikia leo!!