Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Kweli kabisa.
Halafu ili jukwaa halina mods?
Maana matusi aliyo poromosha manoah kwenye uzi wa Judgement yanatisha!!
Mods wapo, ila usiombee mwenzako apigwe ban, maana hujui anaweza chezea ban ipi, usikute ikawa ban ya maisha. ila na mashaka na hawa watu kati ya manoah na Judgement, maana zogo lao hawa lilianzia kipindi manoah alipo waaga member wa Jf.
Siombei apigwe ban,basi hata kufuta yale matusi,jamvi libaki safi,lol!!