Ni katika umri gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni katika umri gani?

Discussion in 'JF Doctor' started by Hmaster, Aug 19, 2011.

 1. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wakuu! Hivi ni katika umri gani mzazi anatakiwa ampeleke mtoto wa kiume kwa ajili ya tohara?
   
 2. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Hmaster....hakuna muda maalum kwa ajili ya tohara kwa mtoto wa kiume. Mara nyingi inashauriwa wakati mtoto bado yuko kwenye umri mdogo (chini ya miezi 6) kwani mtoto anakuwa bado hajaanza movement za kitundu na hivyo kujiumiza/kujitonesha..hii inasaidia kidonda kupona haraka na risk ya infection inapungua.

  Ukichelewa hapo basi watu wengi husubiri mpaka mtoto akiwa na uelewa wa kuumia. Mara nyingi watoto hujitonesha usiku wakati wa kulala anapogeuka geuka. Sasa akiwa na ufahamu inasaidia kupunguza vitendo vya kujitonesha, as well inapunguza risk ya infection. Hapo ni umri wa miaka mi3 na nus au mi4.
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mwache atakata mwenyewe akikua.
  unaweza kuta hataki.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mbona huwa nasikia....ukiwahi sana akiwa mdogo anakuja kuwa na kipenseli?......
   
 5. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Its jst a myth.........
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Katika asili yetu wanapelekwa after 40 days but definitely before 1 year.
  After 40 days sababu kabla ya hapo immunity yake ipo chini na risk ya thetanos ipo juu. before 12 month sababu healing process inakua faster na mtoto anaruhusiwa kukaa uchi mbele za watu as anapona.
  Ila kama dhehebu yako inasema tohara ni kuingia katika utu uzima itabidi usubiri abaleh (vya kufundwa etc)
   
 7. N

  Ndole JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kipenseli? mmh umenichekesha sana....
   
 8. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hmaster
  mbona avatar yako ni picha yangu, naomba uitoe unaniuza
   
Loading...