Ni kataka maandalizi ya Christmas

Ni kataka maandalizi ya Christmas

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
0b375493368760816816a9db7dbb5d86.jpg
 
😀😀😀😀, Hata magoti hayanyooki, kutembea sijui atawezaje
 
Imagine unakivaa siku ya harusi, kanisani mchungaji ana mahubiri dakika 45 na wewe umesimama. Unazimia ukistuka uko Mwananyamala hospitali.
 
ama wanawake wanajitesa jamani - basi wahurumieni. hata viatu vyao ni mateso, wakianza kujiremba ni mateso - poleni.
 
Imagine unakivaa siku ya harusi, kanisani mchungaji ana mahubiri dakika 45 na wewe umesimama. Unazimia ukistuka uko Mwananyamala hospitali.
Hospitali dokta akimuuliza nini chanzo
Anajibu: nimepata ajali ya kiatu[emoji1]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom