Ni kama story ila ndo ukweli

embu nishtue siku ya kurudi tena Shinyanga ili nkuvizie tusafiri pamoja nione kama na mm utanitunuku
Subiri kwanza mkuu nitakua Shinyanga next week niache nikamsubiri stand nami nikamtafune!
 
Nakushauri achana naye assume ni ajali tu imetokea, ila kama huna mpenzi basi komalia ila ujue yy anaye tyr
 
Mguu wa mtoto umemchanganya aisee sipati picha jamaa alivyo kandamiza iv ndo inavyotakiwa ukipewa nafasi piga kama mbwa mwizi sio bla bla nyingi ooh mi msomi sijui nn
Mguu wa mtoto sijaelewa
 

We we ni me au me..
tuanze hapo kwanza.
 
nobody could have said it better......... it was a beautiful affair that lasted for one night and that all that it was.
 
Mkuu kwenye hiyo stori kuna sentensi ambayo haihitaji uulize swali kama hilo.
Sentensi yenyewe ni hii ''kutazamana kwa hisia kukaanza Mara blanketi moja Mara yeye ndo blanket.Ndo ikawa ivo.''
nilihitaji uhakika mkuu,siunajua kumuwazia mwenzako vibaya ni dhambi?
 
yan hapo shine G kimbia nduki speed 120.. akuna ndoa sikuizi ni michezo kama ivo
 
Kajamaa kalijifanya kageni kumbe ana lengo lake. Mtu uende sehemu kikazi ujifanye hujui pa kufikia na unataka mtu wa kukuongoza!! Mbona hakuomba wanaume wenzake? Dada shine G huyo alijua kitatokea nini ndo mana akakuwah hata safar haijaanza. Usitumie hisia tumia akili cku hiz matapeli wengi utarud hum unalia umetapeliwa mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…