Ni kama Rais Samia ameamua kumwachia Makonda nchi. Je hii inaashiria nini?

Makonda akifika aendako watendaji wote wa serkali kama wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa mikoa na wilaya., maengineer, na hata mawaziri wanapaswa kuwepo tayari kujibu maswali.

Linaloshangaza ni kwa Makonda kuwaamrisha hao wakuu wa mikoa na mawaziri au hata waziri mkuu kama vile yeye ndiye rais wa nchi!
Ukipenda boga penda maua na majani yake
 
sijui hawa watu wanakusanywa kutoka wapi?
1705984283632.jpg
1705984310027.jpg
1705984324665.jpg
1705984411751.jpg
 
Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda anazinguka nchi nzima akiwa kwenye msafara mkubwa wenye magari mengi ya kifahari na ving’ora utadhani yeye ni kati ya wale viongozi wa juu kabisa wa nchi hii yaani rais, makamu wa rais au waziri mkuu.

Msafara wa Makonda wakati mwingine ni mkubwa kuliko wa waziri mkuu au hata rais!

Makonda akifika aendako watendaji wote wa serkali kama wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa mikoa na wilaya., maengineer, na hata mawaziri wanapaswa kuwepo tayari kujibu maswali.

Linaloshangaza ni kwa Makonda kuwaamrisha hao wakuu wa mikoa na mawaziri au hata waziri mkuu kama vile yeye ndiye rais wa nchi!

Utaratibu huu mbovu unaashiria nini?

Inaonekana mama Samia anataka kufanya siasa za Magufuli ila:

Pengine haziwezi,
Hazipendi lakini anajua zitamsaidia,
Au anataka kukwepa lawama zinazotokana na siasa hizo. Kwa ujumla jambo hili linaashiria udhaifu mkubwa wa kiuongozi wa rais Samia na utayari wake kufanya lolote ili mradi mambo yamwendee sawa.

Ukweli ni kwamba viongozi na wananchi wengi wanaghafilishwa na mambo haya ila hawana la kufanya.

Kupitia CCM wananchi wanaendelea kupoteza fedha nyingi na kulishwa maigizo ya kisiasa bila wao kujitambua vizuri wala kupata faida yoyote!
 
Msafara wa mwenezi ni mkubwa sanaa,sio sawa kwa nchi maskini kama hii, kuweni na huruma!
 
Anayeona siasa hizi zina manufaa kwa wananchi ni mtu asiyejali na amezoea vya kunyonga kama wewe.
Uzuri wa siasa ni kwamba sooner or later madhara yake tunayapata WOTE. Haiangalii kwamba wewe unatetea chama JF au la..!

Kama ni mfumuko wa bei utatupiga WOTE haijalishi wewe ni chama gani, kama ni ukosefu wa umeme ni WOTE tunalala gizani. Kama ni ukosefu wa ajira au elimu duni hata usipokupata wewe utawapata ndugu zako, watoto wako, nk. Kama ni barabara mbovu tunaingia wote kwenye mashimo..!

Kuna watu wapo humu majukwaani wanajidai kutetea saana lakini nao usiku wanalala gizani, mitoto yao ipo hapo nyumbani haina ajira, miwadogo zao inazurura tu mtaani haina cha kufanya, asubuhi wakiamka hamna maji ndani.. Lakini majukwaani humu ndio wakwanza kushabikia ujinga.
 
Back
Top Bottom