Ni kama nchi imesimama, hakuna kinachoendelea

Kama pesa ipo kwa nini hospital hakuna dawa?
Hakuna T.T injection
Tunasubiri za dezo kutoka kwa wahisani.
 
Kwa hali iliopo hata mimi inanisikitisha sana, bado tupo mbali sana na nchi ya uchumi wa kati" kila kiongozi mbabe! Wananchi ndo wahanga"
 
Watu wazima na akili zao badala ya kuhangaika na uchumi na maisha duni ya watu wetu, ati kila Siku ni kukimbizana na akina Lema, Lisu! Utafikiri labda hii ndiyo dira yetu Kama nchi. Nasikitika sana. Garama wanazotumia kukimbizana na wapinzani tangu mwaka huu uanze zingetosha kununua viwanda vingi vidogo vya kusindika mazao ya wakulima wetu. Ili kuwaokoa na hasara hii inayowakabili.
 
Naona ule wimbo wa kuhamia dodoma umeshachuja. Na hata waliouimba wameshapoteana. Hii ni nchi ya vituko. Mwaka ndo unakatika hivyo .
walichopanda sio wanchovuna inabidi wasimamie misimamo yao kwa vile wamepanda wenyewe ila kiuhalisia hata wao wenyewe wanajutia maamuzi yao kumchagua mtukufu asie kuwa na maono anaongea kwa kufurahisha watu ila kiuhalisia avitekelezeki yeye ndo raisi lakini analamika utadhani bado ajachaguliwa ameshapewa nafasi afanye kwa vitendo aache maneno ya kijinga
 
acha unafiki maisha ni mabovu serikali ya awamu ya tano inatekeleza ahadi zake kwenye camera mtukufu hana maono kuna sehemu anataka kuipeleka nchi hii ila ajui ni wapi ndo maana wamebaki kutamka mambo ya kusadikika na kuyaacha na kurukia maengine
Utabaki hapo hapo unaoza.
 

Halafu wanakuja kusema eti watu wanaandika maneno ya uchochezi!! Tumuombe sana mungu"
 
Watu wazima na akili zao badala ya kuhangaika na uchumi na maisha duni ya watu wetu, ati kila Siku ni kukimbizana na akina Lema, Lisu! Utafikiri labda hii ndiyo dira yetu Kama nchi. Nasikitika sana. Garama wanazotumia kukimbizana na wapinzani tangu mwaka huu uanze zingetosha kununua viwanda vingi vidogo vya kusindika mazao ya wakulima wetu. Ili kuwaokoa na hasara hii inayowakabili.h
Hahahaa. Mkuu umenichekesha sana. Inatakiwa mtu mmoja jasiri amfate na amnongoneze kuwa. Yeye ndiye Raisi. Wananchi wake wanataka atekeleze aliyotuahi ktk kampeni. Tunataka viwanda alivyotuahidi. Kuhamia Dodoma hajatuahidi, so hatuna haraka nayo sana. Kampeni zilishakwisha, watu tumechoka.
 
pole sana naona tayari povu inabidi uvumilie ndugu zako kijijini wanakula nyasi kumbuka kwenye ATM atuweki kadi za vyama apo ndo utakapo isoma namba vizuri maana ni chaguo lenu wenyewe
Mbona wewe unaisoma hiyo namba tayari?
 
Ni kweli hiyo iringa
 
miaka 50 tunasubiri viwanda halafu kwa ujasiri unasema eti subira yavuta heri hivi huoni hata aibu kweli
fikra kama hizi ndio zakuziondoa kwenye nchi hii hazina tija kwetu.
 
Mbona wewe unaisoma hiyo namba tayari?
ifike time muwe mnasoma kwa ajiri ya kuelimika mama ako kijijini anakula nyasi wewe umekalia upambe sidhani kama wazazi wako walikuleta duniani ili uwe mpambe wa wanaume badilika unaipa familia yako wakati mugumu kila wanapo kufukiria walijua wamezaa kumbe ndo ivyo tena wamezaa yahaya
 
Nchi inakwenda vizuri haswa, maisha ni safi huduma za jamii zinamiminika kuliko Libya ya Gadaffi, viwanda vya kutosha kazi zipo za kumwaga hali ni nzuri kabisa jamani.

Mungu atupe nini tena
Hongera kama kwenu Huduma za kijamii zinamiminika kwa wingi na maisha yako vizuri lakini robotatu ya Nchi wanalia na bado kidogo benki nyingi zitafunga matawi yake kwenye mikoa mbalimbali.
 
hivi wa kulaumiwa ni nani hasa?

kichwa kinaweza kuwa kinauma kutokana na malaria - huwezi kusema tatizo ni kichwa.
au tumbo la uharo kutokana na food poisoning - hapo uharo umekosa nini?

narudia kuuliza tena.....ni nani wa kulaumiwa wajameni???? "malaria yetu" na "food poisoning" yetu ni nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…