ProMagufuli
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 251
- 270
Wahisani hawana shida. Ukiwapraise hata kama unakuwa unaenenda vibaya.!Bado anashangaa chokochoko zimekuwa mara mia zaidi ya alivyotegemea.
Na wahisani nao wameanza chokochoko.
Mtaji wa CCM kubaki madarakani ni kuwafanya raia kuwa mazuzu to the fullest.Auto pilot ndo kiwango cha juu cha kujiongoza...
Sisi tumezoa matamko ya kila wiki ndo tunafikiri ndo Uongozi..
Swissland waliwahi kukaa miaka mitatu bila Rais na Baraza la mawaziri ....
Zipo nchi wanakaa hata miezi sita hakuna hotuba wala event ya kisiasa.,.
Mliozea makeke ya Magufuli mnafikiri nndo normal..
Wanajua waliomshtaki..!Mboye kauai iini viongozi
Kumbe we are on right trackAuto pilot ndo kiwango cha juu cha kujiongoza...
Sisi tumezoa matamko ya kila wiki ndo tunafikiri ndo Uongozi..
Swissland waliwahi kukaa miaka mitatu bila Rais na Baraza la mawaziri ....
Zipo nchi wanakaa hata miezi sita hakuna hotuba wala event ya kisiasa.,.
Mliozea makeke ya Magufuli mnafikiri nndo normal..
Wamejiamulia tu hao.!Nchi iko Autopilot wakati watu wamekamatwa Mwanza usiku wakasafirishwa usiku huo huo to Dar na wakapewa kesi ya Uhaini,hayo ni maelekezo toka juu
Laissez-faire leadershipNi kama vile tuko Lasser fair leadership.
Lipa kodi wewe, kama huwezi acha kutumia miamala na peleka hela utakako kwa miguu. Nchi inajengwa na kodi za wananchi.Auto Pilot, kwa uelewa wangu tafsiri isiyo rasmi, nchi inajiendesha.
Kwa sababu gani nasema hivyo. Ni kama ifuatavyo.
1. Kuhusu tozo. Mheshimiwa waziri wa fedha na Mipango ndugu Mwigulu Nchemba alisema mama amesikia kilio cha Watanzania ila cha ajabu mpaka leo hakuna kinachoendelea kuhusu mchakato wa kusikiliza hicho kilio. NI HUZUNI 😒
2. Kuhusu kamata kamata, pia hii sielewi inaendeshwa je na mratibu wa hii kitu ni nani.! Maaskari wameachiwa wafanye vile wanaona vyema. HII NI MBAYA.
3. Japo si kwa umuhimu Raisi hajatoka hadharani kusema na wananchi kujua nini kinaendelea hapa Tanzania.
Pia kuna Mambo kibao yanaendelea hayaeleweki. Ni kama vile tuko Lasser fair leadership.
Nimeona sehemu, itakuwa ipo chini ya system sasa.
TUNATAKA KUMSIKIA.
Nimemaliza. Pro Magufuli.
Nyinyi watu mukichekewa munaota mapembe, ni bora mupelekewe moto tu.Bado anashangaa chokochoko zimekuwa mara mia zaidi ya alivyotegemea.
Na wahisani nao wameanza chokochoko.
Sawa ShukuraniLaissez-faire leadership
Uh, tumepewa Danganya toto.!Lipa kodi wewe, kama huwezi acha kutumia miamala na peleka hela utakako kwa miguu. Nchi inajengwa na kodi za wananchi.
Autria, finland, canada wanatoa misaada kwetu na nchi zingine na wana bonge la facilities na huduma ila raia wanalipa kodi zaidi ya 50%....
Swissland? Una hakika wewe kweli ni Boss?Auto pilot ndo kiwango cha juu cha kujiongoza...
Sisi tumezoa matamko ya kila wiki ndo tunafikiri ndo Uongozi..
Swissland waliwahi kukaa miaka mitatu bila Rais na Baraza la mawaziri ....
Zipo nchi wanakaa hata miezi sita hakuna hotuba wala event ya kisiasa.,.
Mliozea makeke ya Magufuli mnafikiri nndo normal..
Dah ni ajabu sanaWanajua waliomshtaki..!
Sasa ndio tunarahisi anayesikiliza washauri wake sasaAuto Pilot, kwa uelewa wangu tafsiri isiyo rasmi, nchi inajiendesha.
Kwa sababu gani nasema hivyo. Ni kama ifuatavyo.
1. Kuhusu tozo. Mheshimiwa waziri wa fedha na Mipango ndugu Mwigulu Nchemba alisema mama amesikia kilio cha Watanzania ila cha ajabu mpaka leo hakuna kinachoendelea kuhusu mchakato wa kusikiliza hicho kilio. NI HUZUNI 😒
2. Kuhusu kamata kamata, pia hii sielewi inaendeshwa je na mratibu wa hii kitu ni nani.! Maaskari wameachiwa wafanye vile wanaona vyema. HII NI MBAYA.
3. Japo si kwa umuhimu Raisi hajatoka hadharani kusema na wananchi kujua nini kinaendelea hapa Tanzania.
Pia kuna Mambo kibao yanaendelea hayaeleweki. Ni kama vile tuko Laissez-faire leadership.
Nimeona sehemu, itakuwa ipo chini ya system sasa.
TUNATAKA KUMSIKIA.
Nimemaliza. Pro Magufuli.