Ni kama naota vile, siamini

Ni kama naota vile, siamini

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Kwa kweli nashindwa nimuelezeaje.

Ni maji ya kunde sio mrefu wala mfupi yuko kati hivi.

Nilikutana naye kwenye kivuko cha kigamboni jana.

Binti habari yako? Nzuri kaka, nikamuuliza kama mwenyeji Kigamboni, alinijibu sio sana maana ndio ameamia juzi juzi hostel.

Akaniuliza kwani nataka kwenda wapi? Nilimjibu kama anajua beach nzuri ya kupumzika,(Off course nilikua najua naenda wapi ilikua ni zuga tu). Basi akasema yeye pia anaelekea lakini anaenda kwanza hostel kubadili nguo ndio aende Mikadi.

Nikaungana nae. Kameumbika wajameni, nilikula maisha mchana kutwa na giza lilipoanza kuingia tayari alishakua na dompo moja kichwani, mimi nina Safari za kutosha.

Tulikua tumekaa ndani ya kibanda. Hahahaha, kereuuuuwiii ni balaa ,men,the girl can ride. Kwa kweli nililala huko,nimevuka saa tatu leo. Yaani siwezi fanya kazi vile yule girl alivyonifanya namuwaza yeye tu. Lazima nikarudie.

Na Itabidi nitafute nyumba kabisa nihamie huko. Muniwache.
 
Hahahahaaaa.. Aya bana.
You aint taking it serious eeh?

Hasante kaka, ''Do not take life too seriously. You will never get out of it alive -E. hubbard''
 
Kwa kweli nashindwa nimuelezeaje. Ni maji ya kunde sio mrefu wala mfupi yuko kati hivi. Nilikutana naye kwenye kivuko cha kigamboni jana. Binti habari yako? Nzuri kaka, nikamuuliza kama mwenyeji Kigamboni, alinijibu sio sana maana ndio ameamia juzi juzi hostel. Akaniuliza kwani nataka kwenda wapi? Nilimjibu kama anajua beach nzuri ya kupumzika,(Off course nilikua najua naenda wapi ilikua ni zuga tu). Basi akasema yeye pia anaelekea lakini anaenda kwanza hostel kubadili nguo ndio aende Mikadi. Nikaungana nae. Kameumbika wajameni, nilikula maisha mchana kutwa na Giza lilipoanza kuingia tayari alishakua na dompo moja kichwani, mimi nina Safari za kutosha. Tulikua tumekaa ndani ya kibanda. Hahahaha, kereuuuuwiii ni balaa ,men,the girl can ride. Kwa kweli nililala huko,nimevuka saa tatu leo. Yaani siwezi fanya kazi vile yule girl alivyonifanya namuwaza yeye tu. Lazima nikarudie. Na Itabidi nitafute nyumba kabisa nihamie huko. Muniwache.

Mkuu ulikagonosha?
 
Hasante kaka, ''Do not take life too seriously. You will never get out of it alive -E. hubbard''

Hiyo pole aliyokupa niya kukusikitikia....Yani umepotea........

Ulivyokuwa muhuni ukaitikia ahsante...Khaaa
 
Why Kichaa? You only take the calculated risks.... and must consider ''Opportunity costs'' - the cost of foregone next best altenatives..... or benefits that one could have derived from that foregone altenative.

Kabisa, sasa its better u die kuliko kuwa kichaa.
 
Kondom ulikumbuka?

Kavu noma mkuu, pale wanauza waudumu. Kuna round niliagia Safari na Ndom. Ila nilizificha kwanza maana ishu ilikua bado chengachenga.
 
yaani amemuamua kutualetea kauzi hapa ambako hakaeleweki kumbe anajipalia makaa shingoni mwake
nami nampa pole sana hajui kuwa ameshajimaliza
Unaona ufahari mwenyewe!!!

Pole sana ndugu.
 
unajitafutia mabalaa mwenyewe bila hata kujijua unafikiri kila apitaye na umuonaye ni hekalu jema
mengine ni hekalu chafu shauriro
Kavu noma mkuu, pale wanauza waudumu. Kuna round niliagia Safari na Ndom. Ila nilizificha kwanza maana ishu ilikua bado chengachenga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom