Ni jukwa gani JF lenyewe hulipendi?

Mr IQ

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
905
1,059
Habari wandugu.. Binafsi kunaa baadhi ya majukwaa y jf yenyew cjawai gusa na cjui n kwanini
Jukwaa la mapenzi na mahusiano iv likojee..??
Kwa upandewako ni jukwaa lipi lenyew hulipendi?
 
ukipendacho wewe si lazima mwenzako akipende.

nikijibu swali lako la msingi forums zote nazipenda...
 
Back
Top Bottom