Ni jiwe gani hili

Ni jiwe gani hili

Shaba hiyo mkuu

mafisadi hayana chama
 
Hilo jiwe nimelitafuta kinyama kumbe we ndo uliliokota, naomba unirudishie jombaa
 
Hiyo ni tangawizi

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Posibility 3
Chalcopyrite(foolish gold)
Gold
Shaba.

Tuambie ulilipata mazingira gani.

Chukua msumari ulikwangue kidogo alaf tume majibu kwa picha

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
 
Huko umeenda mbali sana. Ukimjibu kutokana na ujinga wake anaweza elewa zaidi. Anasema ameokota jiwe halaf anauliza linaweza kuwa nini wakat ashasema ni jiwe... Sasa jiwe litakuwa nini?tonge la ugali? Huyu ni kubwer jinger

Ina maana wote mliochangia hapa mmeshindwa kutambua kuwa hiyo picha ni ya kugoogle? gold nugget?
 
Chukua Msumari Kwangua Au Limege Kipande Kidogo Alafu Angalia Tna Km Inahyo Rangi Yake Kwa Ndani Km Inayo Hyo Itakuwa Gold Km Haina Tupa Kule Itakuwa Kakumba Hyo
 
Back
Top Bottom